Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 )
Windows 11 -...
Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi.
Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.
Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping...
Jitahidi sana maisha yako yawe baraka kwa wengine hata ukitoka sehemu watu waone wamepungukiwa , kuna aina ya watu huwa wakitoka sehemu watu waliobakia wanasema afadhali hayupo , hii ipo sana maofisini kuna aina ya watu uwepo wao tu ni kero kwa wengine hadi wafanyakazi wenzake wanaomba dua...
Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa...
Ni juzi tu Jeshi la polisi walitangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa lakini Cha kushangaza ni kuwa mfumo wa kuwasilisha maombi una changamoto kila ukijaribu kujaza taarifa zako unakuandikia hv na muda unazidi kwenda sasa sijuhi wenye mamlaka wanawaza Nini kuhusu kadhia hii ya mfumo wao?
Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu.
Kwa nini...
Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo ubongo ndipo mnaanza maongezi yaani kiroho safi kabisa.
Hata police ukienda ku report tukio unafika...
Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara.
Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100%
Chanzo kikuu ni hiki hapa;-
1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo...
Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA.
Hivi hamuumii kama watu waliochoma Chanjo ya corona, wakituona ambao hatujachanja tunaishi vizuri?.
Maana huku ofisini naona watu...
System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania
Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM
Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia darasani.
Wanafunzi wengi wanasoma kwa kukariri sana kwasababu lugha ni changamoto
Jambo la kushangaza...
Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie
Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3
Bei ni sh 23000.
Contact 017009453
DSM NA MIKOANI TUNATUMA
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza...
Kwa takwimu za Mchengerwa watu wote wenye umri wa kupiga kura 98% wameandikishwa ambao wengi wao ni vijana.
CHADEMA huwa mnajinadi kuwa chama chenu kina hazina kubwa ya vijana mnataka Mungu awape nini zaidi awaletee kipande cha dhahabu kwenye sinia.
Mnatakiwa mjue kuwa kila jambo huletwa na...
Yaani unakuta PS wa boss ni wa kiume alafu anakuwa na kiherehere, sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss, yaani anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss.
Mfano huyu wa kwetu akiona hana kazi bas anakuja mpaka sehemu ambazo yeye hausiki anakuja anafoka sana mara oh mbna...
Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara.
Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.