manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  2. Sifi Leo

    Mkuu wa mkoa wa Manyara ni Magoti aliyechangamka, kelele zote zile ila ndio mkoa ambao Waziri Mkuu amekuta madudu hatari

    Kuongoza mkoa Hasa UKIWA umetoka vyama vya upinzania usipotuliza komwe utapigwa sana za uso mwishowe utadodonkea pia pwaa! Kwini wa Manyara inawezekana akawa the valueless mkuu wa mikoa katika ya wakuu WA mikoa nchini Tanzania. Ni mkuu wa mkoa ambae alikuwa kila siku yupo mitandaoni na maneno...
  3. K

    Niko Babati Manyara, nipeni chimbo la bata

    Niko babati Manyara... nipeni chimbo la bata
  4. Desierto

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  5. Mafyangula

    GE2025 Jeshi la polisi, wadau watoa elimu ya usimamizi wa uchauguzi kwa vyombo vingine vya ulinzi Manyara

    Kipindi hiki mafunzo yamekuwa mengi sana, ujakaa sawa unasikia polisi na wanajeshi wamefanya mazoezi ya pamoja. Hizi bwebwe zote za nini jamani? =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na maafisa uchaguzi jimbo la Babati Mjini na Vijiji Mkoani humo Oktoba 21, 2025...
  6. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  7. Parabolic

    Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  8. M

    Kama huyu mwalimu kaonekana katili basi walimu wa zamani wa Manyara ranch primary wangepelekwa the Hague kabisa

    Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  10. DuaZaMama

    Tazama Nyuki Walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja na JKU FC katika dimba la Tanzanite Kwara Babati, Manyara

    Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi walilazimika kujilaza chini huku wengine wakikimbia hovyo kutafuta usalama.
  11. DuaZaMama

    Manyara: Mwanafunzi auawa, mganga wa kienyeji atajwa chanzo cha mauaji

    Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa kupigwa hadi kufa na wenzake baada ya kuaminiwa kuwa ameiba kompyuta mpakato (tablet). Yohana, ambaye...
  12. F

    Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  13. chiembe

    Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  14. rich1

    KERO Urundikwaji wa Uchafu mitaa ya mafichoni, Manyara-kiteto

    Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona. Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
  15. Waufukweni

    GE2025 Manyara: Wananchi wandamana kumkataa Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za Wajumbe

    Wakuu! Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote.. Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
  16. JanguKamaJangu

    GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Wananchi walia na majina ya watia nia kukatwa Mbulu, mkoa wa Manyara

    Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika kinyang`anyiro hicho akiwemo aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo, Bw. Flatei Gregory licha ya kukubalika na...
  18. KusiniKuchele

    Naomba mnijuze majina ya Wagombea wa Hanang' Mkoa wa Manyara waliopishwa

    Namsikiliza hapa Makalla lakini naona mtandao umeshake. Kasema wagombea sita lakini nimewasikia wanne tu. Nijuzeni usahihi wa taarifa hii wadau
  19. PendoLyimo

    Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara

    📌Mhe. Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara . 📌Mitungi 16,275 kusambazwa mkoa mzima. 📌Kila wilaya kupata mitungi 3,255. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Julai 11,2025 wilayani Hanang amezindua rasmi mradi wa...
  20. Soul21

    Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

    Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda. Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza...
Back
Top Bottom