manispaa ya ubungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    KERO Watumishi Kada ya Elimu Manispaa ya Ubungo hatupewi fedha za Likizo, wanaishia kutujazisha fomu tu

    Sisi ni Wadau wa JamiiForums natokea Manispaa ya Ubungo Kada ya Elimu Kero yetu ni Juu ya Pesa za Likizo tangu nihamie Manispaa ya Ubungo ni Mwaka wa tano lakini mpaka leo hatujawahi kupewa hela ya likizo tunaishia tu kujaza fomu hatujui hizo hela anapokea nani kama kweli zinatoka. Tunaomba...
  2. A

    KERO Wafanyakazi wa Manispaa ya Ubungo hapo Luguruni wajitathimini, baadhi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Mimi ni mhanga pia wa hao Manispaa ya Ubungo, ninaishi Kibamba, mwanzoni mwa Januari 2026 walipita wakikagua Leseni ya Biashara nikawaeleza week inayofuatia nitaenda ofisini, maana ilikuwa ni ya ku-renew na kweli nilienda tarehe 6 January nikahudumiwa na mdada mmoja baada ya kumaliza kunihudumia...
  3. Roving Journalist

    Manispaa ya Ubungo yaomba radhi kwa mishahara kuchelewa katika Hospitali ya Sinza Palestina

    TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA MIKATABA KUPITIA MTANDAO WA JAMII FORUM TAREHE 08/03/2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi wa mikataba wa hospitali ya Sinza...
  4. Roving Journalist

    Responded Manispaa ya Ubungo: Malipo ya mshahara wa madereva yamechelewa kutokana na hitilafu za kiufundi katika mifumo ya ulipaji wa fedha

    TAARIFA YA UFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA MADEREVA WA MIKATABA – HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA JAMII FORUM TAREHE 10.02.2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na madereva...
  5. Roving Journalist

    Responded Manispaa ya Ubungo: Vyoo viwili eneo la Stendi ya Simu 2000 vimesitishwa kwa muda kutokana na changamoto ya kujaa maji mara kwa mara

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000) Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
  6. Roving Journalist

    Responded Manispaa ya Ubungo: Faini ya wrong parking ni Tsh. 80,000, ukikutwa na kosa hautaruhusiwa kuondoka hadi ulipe

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Serikali kuingilia kati suala la Kampuni inayohusika na kukamata wanaoegesha vibaya vyombo vya usafiri vya moto (wrong parking), akidai huduma zao sio nzuri na pia Faini ya Tsh. 80,000 haendani na kosa, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika...
  7. O

    Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya Ubungo unatutesa wananchi tunaohitaji leseni za biashara, maombi ya leseni wiki nzima umekaa nayo

    Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya ubungo una shida gani? unakaa na maombi ya leseni wiki nzima? mbona hii hali tulishaisahau hapo manispaa ya ubungo. wananchi tunataka kuichangia serikali yetu mapato kupitia leseni za biashara na pia wenyewe tunauhitaji wa hizo leseni kwa mambo yetu ya...
  8. JanguKamaJangu

    KERO Manispaa ya Ubungo ilituahidi baada kuanza kulisimamia Soko la Mabibo miundombinu itakuwa shwari, lakini bado hali ni tete

    Kufuatia awali Soko la Mabibo "Soko la Ndizi" kudaiwa kuwa mikononi mwa Watu wachache ambao walikuwa wakihusika kuchukua mapato, Serikali kupitia Halmashauri ya Manispaa Ubungo ilitoa taarifa ya kulirejesha soko hilo kwenye mikono yake huku ikiahidi kulifanyia maboresho makubwa, ambayo yangeweza...
  9. W

    LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

    Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
  10. C

    Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

    Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam. Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili...
  11. Msitari wa pambizo

    Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  12. E

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo komesha hii tabia

    Kipindi cha Magufuli watumishi wote walihakikiwa na walioonekana hawana vigezo walitimuliwa. Wakati wa kuhakikiwa kila mtumishi alileta vyeti halisi, barua ya kuajiriwa na ya kudhinitishwa. Vyeti vya ndoa, kuzaliwa/affidavit n.k. Pamoja na nakala za vyeti vyote na barua zote kuwa kwenye faili...
  13. Kindeena

    Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
  14. sajo

    TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
Back
Top Bottom