School Management Platform (schoolinsight) available Now

therealsalum

Member
May 29, 2020
5
3
Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level.
Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni shule kufungua account na kuanza kutumia huduma hii.

Kwa shule ambayo itafungua account itapata 3 months free trial, kwa ajili ya kujiridhisha na huduma yetu

Kwa kutumia schoolinsight unaweza kufanya yafuatayo:
  1. Kuaanda ripoti za maendeleo ya wanafunzi wa darasa zima kwa kubonyeza "button" tu, ni rahisi sana(Grading,Division, Average, Position included)
  2. Ku "record" taarifa za ulipaji wa ada na michango mingine kwa kutumia "accounting software" iliyokuwa "built-in" katika schoolinsight
  3. kuallocate masomo na walimu wa darasa
  4. Kutuma "Free Unlimited SMS" kwa wazazi kuhusu matokeo ya watoto wao.Pia unaweza kutuma sms kwa wadau wengine wa shule
  5. Ku "manage" library ya shule
  6. Wazazi wanaona matokeo ya watoto wao kupitia "parents panel"
  7. Na mengine mengi yanakuja(In future releases)
Kwa nini uchague schoolinsight
  1. Gharama za ulipaji ni rahisi sana hatu "charge" gharama za server, installation, traning(if needed), wala domain name. kiufupi ni kwamba shule inalipia gharama ya mwezi tu(monthly fee) basi
  2. Ni rahisi sana kutumia schoolinsight(user friendly)
  3. Tunatoa support kwa masaa 24.Tufikia muda wowote kwa tatizo au suala lolote na tunafurahi kukuhudumia
  4. Unaweza Ku "Access" taarifa za shule yako kwa muda na mahali popote.schoolinsight ni "web based"
  5. etc
Kwa maelezo zaidi wasiliana na team ya schoolinsight kupitia taarifa zifuatazo
Phone: 0692 412 862 / 0718 613054 / 0756 286 458
Email: weschoolinsight@gmail.com
Website: www.schoolinsight.co.tz
Instagram: @weschoolinsight
Twitter: @weschoolinsight
facebook: @weschoolinsight
Screenshot from 2020-05-29 12-08-11.png
Screenshot from 2020-05-29 12-08-07.png
Screenshot from 2020-05-29 12-07-57.png
Screenshot from 2020-05-29 12-07-23.png
Screenshot from 2020-05-29 12-07-03.png
Screenshot from 2020-05-29 12-06-53.png
Screenshot from 2020-05-29 12-05-18.png
Screenshot from 2020-05-29 12-03-59.png
Screenshot from 2020-05-29 12-03-18.png
Screenshot from 2020-05-29 12-03-05.png
Screenshot from 2020-05-29 12-02-58.png
Screenshot from 2020-05-29 12-02-45.png
Screenshot from 2020-05-29 12-01-41.png
Screenshot from 2020-05-29 12-01-09.png
Screenshot from 2020-05-29 12-00-43.png
Screenshot from 2020-05-29 12-00-21.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom