Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya Health Management System

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu wana Jf,

Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.

Asanteni
 
Habari ndugu wana Jf, naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.
Asanteni
Mzumbe au siyo!? Ajira siyo guarantee we soma kitu moyo mependa
 
Unasema?

Ajira mbona ziko nyingi Sana tena maslahi makubwa sana

Ni mzumbe tu wanatoa hiyo na vigezo vyako vya kuchaguliwa ni vigumu na lazima ufaulu vizuri hesabu o level na biology lazima uwe umefaulu vizuri sana
 
Uwingi wa ajira? Pruv.. Mm sina ajira na chet cha from 6 kipo pia nimesomea medical anthropology, epidemiology na nafanya research
 
Habari ndugu wana Jf,

Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.

Asanteni
Habari ndugu wana Jf,

Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.

Asanteni
Umeuliza vizuri lakini kwenye suala la mshahara dah! umenishangaza kwa kweli. Ukitumia hicho kigezo cha mshahara kwenye selection ya kozi utakuja kujialumu sana mkuu.

NB; Hiyo kozi ni moja kati ya kozi nzuri, ngoja waje wahusika wakupe uzi kamili.
 
Habari ndugu wana Jf,

Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.

Asanteni
mshahara na fursa me sijui, ila najua hiyo program ipo Mzumbe pale, inaitwa BHSM kwa kifupi, nenda kapige msuli utatoboa tu!!!
 
Back
Top Bottom