manabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  2. Haya maisha usiwe mwepesi kuhukumu. Manabii niliowatukana kwa kuwaita mashoga ndio walionisaidia kwa kiwango kikubwa kuliko mtu yeyote duniani

    Ilikuwa 2023 hivi kama sitakosea, manabii 2 vijana kutoka Marekani Lovy Elias mwenye asili ya Kongo na Passion Java mwenye asili ya Zimbabwe walikuja Tanzania kwa huduma. Kwa muonekano wao nikasema hawa ni mashoga wametumwa na Ibilisi kusambaza ushoga. Jf niliweka nyuzi kuwasagia sumu ...
  3. J

    Maandiko yasemavyo kuhusu manabii na mitume wa kweli na uongo

    Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa ipo. Kitabu cha Yeremia 14:14: "NDIPO BWANA AKANIAMBIA, HAO MANABII WANATABIRI UONGO KWA JINA LANGU...
  4. Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

    Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
  5. Una Degree, Masters au PhD lakini unaamini hawa manabii wa Leo?

    Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1 Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi. Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
  6. Nahisi kuna Project ya wanamtandao kutumia Manabii kutoa tabiri zenye lengo la kuipooza Mioyo ya Wananchi

    Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo. Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
  7. M

    Yesu na manabii hawakushiriki siasa ila walikemea ilipoumiza watu, visingizio kanisa haligusi siasa ni kukosa upendo, ni kuvunja amri kuu ya Yesu

    Wasabato MPO ? Tag MPO ? Moravian MPO ? Eagt MPO ? Mwamposa mnasikia ?
  8. Nimeamua Kuachana na USABATO Nikiwa na akili timamu , Biblia inaonyesha Manabii walionya Wafalme WAOVU, Vijana wanauliwa, Viongozi SDA wako Kimya

    Mungu wangu Nitamsoma kwenye Biblia tu ,nitasaidia Masikini, nitatoa sadaka zangu huko . Kupelekwa Sadaka na Dhaka Kanisan ziliwe na Viongozi wa Dini ambao Taifa linapitia maumivu, Mauaji ,ukosefu wa Haki ,wao wako Kimya, Nilkujikosea mwenyewe. MUSA aliua Mmisiri ili aokoe Wana Israel. Joshua...
  9. S

    Ni hakika anguko la Samia limefika. Manabii wamemuonya lkn hakusikia.

    Manabii toka enzi na enzi wamekuwa wakiwaonya viongozi kwa mujibu wa biblia kama inavyosomeka hapo juu. Hivyo kufumbia macho mauaji na ufisadi ni mambo ambayo yamesababisha viongozi wengi duniani mwisho wao kuwa mbaya.
  10. Ujumbe wangu kwa manabii wawe na subira na wasimfundishe Mungu kazi

    Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
  11. H

    Kwanini manabii wasiombee nchi yetu iwe tajiri?

    Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk. Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
  12. Mungu akitujalia uzima, mwakani tutawajua dhahiri manabii wa uongo!

    Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi za manabii wanaoeleza kwamba wameambiwa na Mungu waseme waliyoyasema. Miongoni mwa manabii hao ni...
  13. H

    Je manabii na mitume waliosimuliwa kwenye biblia na quruan mnazoziabudu na walioziandika waliikuwa ni wasomi?

    Kwani hao manabii mnaowasoma kwenye biblia na quruan na waliotunga vitabu vya dini walikuwa wasomi kiasi gani hadi bunge liwe la wasomi? quruan na biblia ziliandikwa na wasomi hadi bunge liwe la wasomi tu? Yesu na mohamad walikuwa wasomi mbona mnawaabudu na kuwatukuza hadi leo na umbumbumbu...
  14. Wake mngeheshimu na kuwapenda waume zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume ndoa zingekuwa na furaha sana, badilikeni

    Shalom wana wa Mungu, Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza. Wanandoa hasa wamama—badilikeni. Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume. Maana mkiachika, mtasikia: “Huyo hakuwa wako, hakuwa kutoka kwa Mungu.” Lakini ukweli ni mawili tu...
  15. H

    Kwanini manabii wote miuujiza wanakuja kufanyia mimi na siyo vijijini kwao walikozaliwa?

    Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
  16. Kwanini Wachungaji na manabii hawapendelei kutumia Twitter kusambaza kazi zao

    Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi. Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta X au twitter kwa na wao ni akili ndogo.
  17. T

    ARUSHA KWA YESU: Hatimaye jiji limeangukia mikononi mwa mitume na manabii

    Geneva of africa is fall down Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia kivuli cha dini kufanya utapeli. Wanauzia watu maji na mafuta wanayowaaminisha watu kuwa ni ya upako na...
  18. Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  19. Alianza Kiboko ya Wachawi sasa Tony Kapola naye kuwadharau "Wajinga wanaoamini kwenye Manabii Fake"

    Habari za Sabato! Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa. Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango. Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
  20. Ogopa kuzoeana na machawa wa maaskofu na wachungaji na manabii utakufa maskini

    Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two Washampanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…