Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa...