mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. 3

    Haya mambo 5 watu wa Dar wanayafanya bila aibu, ila kwa mikoa mingine ni mshangao au aibu tupu! Je, ni maendeleo au tunapotea?

    Wakuu niaje Nimekuwa Dar es Salaam kwa miezi kadhaa sasa, na kuna mambo nimeyaona ambayo kwa watu wa huku ni ya kawaida kabisa, lakini kwa sisi tuliokulia mikoani yanaweza kushangaza, kuchekesha au hata kuwa ya aibu. Je, haya ni maendeleo au tunapotea kimaadili? Hebu tujadili kwa uwazi lakini...
  2. Msaada, Mambo ya kuzingatia kwenye zoom meeting interview

    Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt Kupitia zoom meeting Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair Nizingatie mambo Gani? Wakiniuliza experience mana KAZI ni mambo ya utalii wakati Mimi ni mtalaamu wa sayansi ya jamii...
  3. Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

    Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka. Leo tunazindua...
  4. M

    Ule ufisadi wa Richmomd,Escrow, EPA hakutakuwa na kuibua tena, mambo ni chini kwa chini

    Nchi ya Tanzania kwa sasa haina bunge, wala mahakama, Bali tuna Rais ambaye ndio Mungu wa Tanzania na Ikulu yake pendwa. Ufisadi uliofanywa kipindi cha pili cha awamu ya tano inawezekana na Mkubwa kuliko fisadi zote zilizowahi kuibuliwa na CCM wenyewe au Chadema hususani Wabunge. Mpina...
  5. Orodha ya Mambo mabaya ambayo humtokea mwanadamu

    Tujitahidi kuorodhesha tumwekee RATIBA akutane nayo 1. Kutekwa 2. Kuuwawa 3. KUBAMBIKIWA KESI 4. AJALI HOPE YOTE YATAKUTOKEA
  6. M

    Kama hutoki familia ya mwanasiasa au matajiri wa nchi hii fanya mambo mengine

    Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa. Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa...
  7. M

    Mambo yanayosababisha wanaume waliooa kucheat

    1.Kunyimwa tendo la ndoa. 2.Kauli mbaya kutoka kwa mke , 3.Dharau kutoka kwa mke ; 4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi. 4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine. 5.Mwanamke kuwa mchafu. 6.Mwanamke kuwa na bond kubwa na familia aliyotoka. 7.Mwanamke kukosa maono na mipango...
  8. S

    Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  9. GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

    Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura". Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo Kuna mambo matatu! 1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo...
  10. Kumbe baada ya ndoa mambo ndo yanabadilika hivi?

    Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa...
  11. Kumsifia mwenza wako mambo ya falagha kwa mashoga zako sio kweli

    Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama. Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia...
  12. H

    Kwanini "maprofeti" washindwe kutabiri juu ya mambo ya familia zao waweze kutabiri juu ya mambo ya Tz??

    Tutafakari juu ya hili,plz!!! UJINGA NA WIZI UMEZIDI TZ
  13. Kujenga viwanda vya magari sio suala gumu, bali ugumu upo kwenye mambo yafuatayo

    Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza Steel kwa ajili ya bodi ya...
  14. Video: Mambo muhimu aliyofanya Hayati Benjamin Mkapa kuimarisha Demokrasia nchini

    Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya watawala.. ‬ ‪2. Demokrasia ya uwakilishi inatakiwa kutupatia viongozi wanaoamua kwa niaba yetu na...
  15. Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

    Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana. Ya nini kuleta tetesi na uvumi? CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
  16. M

    Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

    Mimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi. Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa...
  17. Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
  18. Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  19. Al Jazeera: Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran. Asema ni kweli walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Wanajipanga upya

    Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
  20. Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran akiri vinu vyao viriharibiwa vibaya. Ila anasema watarudi tena kurutubisha

    Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia. Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…