mambo ya nje

  1. R

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  2. K

    Ushauri kwa Serikali kwa mambo ya nje hasa Balozi

    Mimi kama diaspora nitaanza na mawazo mawili makubwa halafu naomba wadau muongeze 1. Nashauri Mabalozi ambao wanateuliwa wapimwe uwezo sio tu kuchagua watu ambao ni madiplomasia wa wizarani na ofisi zetu za balozi lakini kuchagua watu ambao wanauzoefu wa biashara, uwekezaji na ushawishi...
  3. Waziri wa mambo ya Nje Danmark alisaini mkataba akiwa kalewa wa kuipa Norway utajiri

    Hækkerup is most widely known for the agreement he reached with the Norwegian Minister Jens Evensenthat gave Norway the oil-rich Ekofiskoil field in the North Sea. According to an urban legend, Hækkerup was drunk when he signed the agreement.
  4. Rais wa Algeria akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Tax katika Ikulu ya Algiers

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana Kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) alipomtembelea Ikulu Jijini Algiers, Algeria tarehe 1 Agosti 2023. Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa...
  5. Hongereni Wizara ya Mambo ya Nje. Sasa mnafanya mambo kisasa kweli!

    Namna nchi inavyojibrand kwenye masuala ya Kimataifa ni jambo la muhimu sana. Sio tu inatengeneza picha nzuri juu ya hiyo nchi kwa wageni ila inawafanya wageni waamini kuwa wanajihusisha na mtu / nchi makini sana Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa sana na namna Wizara ya Mambo ya Nje wamekuwa...
  6. Balozi Kayola awasilisha nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe Malawi. Tarehe 01 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  7. Waziri Stergomena Tax awaaga mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ujerumani na Norway

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuwaaga mabalozi watatu waliokuwa wanaziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda wao wa uwakilishi. Dkt. Tax amewaaga mabalozi hao katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es...
  8. TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  9. Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

    Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa JPM ungeanzia wapi kukopa na kutokomea? Mbona Huu Uhuni Kwa JPM haukwepo? Rais analalamika, yaan...
  10. Yuko wapi Balozi Liberata Mulamula? Mwanadiplomasia huyu Nguli aliiweza sana Wizara ya Mambo ya Nje

    Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni. Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa'...
  11. Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
  12. Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  13. Wizara ya Mambo ya Nje Kimya, Wizara ya Habari kimya, Hivi hamjui Kimataifa huko Tanzania inaonekana kuna "Civil unrest"?

    Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?. Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
  14. L

    Waziri wa mambo ya nje wa China aanza ziara ya kwanza ya mwaka mpya barani Afrika, desturi ikidumu miaka 33 mfululizo

    Kuanzia tarehe 9 hadi 16 mwezi huu, waziri mpya wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang atafanya ziara nchini Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, Misri, na pia kutembelea makao makuu ya Umoja wa Afrika na ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu. Hii sio tu ni ziara ya kwanza ya mambo ya nje ya Qin Gang akiwa...
  15. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  16. Q

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  17. Tanzia: Waziri wa mambo ya nje wa Belarus afariki ghafla

    Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012 Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta limeripoti, likimnukuu msemaji wa wizara hiyo, Anatoly Glaz. Alikuwa ameshikilia nafasi yake kwa muongo...
  18. Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  19. S

    Nini kimemsibu Mulamula?

    Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri? 1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia? 2. Je...
  20. Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…