mamba

Mambas are fast-moving, highly venomous snakes of the genus Dendroaspis (which literally means "tree asp") in the family Elapidae. Four extant species are recognised currently; three of those four species are essentially arboreal and green in colour, whereas the black mamba, Dendroaspis polylepis, is largely terrestrial and generally brown or grey in colour. All are native to various regions in sub-Saharan Africa and all are feared throughout their ranges, especially the black mamba. In Africa there are many legends and stories about mambas.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    Mamba wageuka tishio wilayani ukerewe

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe wamelalamikia ongezeko la mamba ndani ya Ziwa Viktoria na kuleta madhara kwa wananchi wa wilaya hiyo baada ya miezi mitatu iliyopita matukio zaidi ya matano kuripotiwa ya wananchi kuvamiwa, kushambuliwa, kuuliwa na kubebwa na mamba pamoja na viboko...
  2. The Burning Spear

    Tafasiri ya tunajengga uzio tunaweka mamba pembenii

    GT Inachanganya kwa kweli
  3. W

    Wananchi wa Karema wameishukuru Serikali kwa kuwajengea kizimba cha kuwazuia Mamba

    Wananchi wa Kijiji cha Karema wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, wameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kizimba maalum pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ili kukabiliana na changamoto ya mamba waliokuwa wakiwaua na kuwajeruhi wananchi kwa muda...
  4. Kimbesa11

    Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  5. Think2

    Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
  6. Daraja2

    Kenge kwenye msafara wa mamba usijinyong'onyeshe

    Habarini za jioni hii, Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika. Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika). USHAURI; Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa...
  7. figganigga

    PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini Mamba wanafugwa au wameachwa ndani ya Bwawa la Mwalimu Nyerere? Kiufundi wana Kazi gani labda ya Kimkakati?

    Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
  9. M

    Ruvuma: Mamba aliyeua binadamu ageuzwa kitoweo

    Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mnamo January 02 mwaka huu, wananchi wa Kijiji cha Ng’ombo wilayani Nyasa walimuua mamba na kufanya kitoweo. Majira ya saa kumi na moja alfajiri kwenye fukwe za Ng’ombo-ziwa Nyasa, Kijiji cha Ng’ombo kata ya Chiwinda, mwanamke mmoja aliyetambulika kwa...
  10. A

    Nyoka aina ya Black Mamba mawindoni

    Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
  11. Beira Boy

    Nakutamkia ushindi zidi ya roho za kichawi,kimizimu,kijini na kishetani zilizovaa umbo la kenge, nyoka , Simba,chui, mamba, ng'ombe pokea ushindi wako

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata afikie hatuna ayatawale maisha yako kwa kukunyanyasa Kataa kunyanyaswa na shetani kwani unamuweza...
  12. R

    Bwana Lissu, kumbuka kuwa Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...

    Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible! Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo! ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
  13. Mjanja M1

    Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

  14. Travis Kitengo

    Mamba wameonywa kutoogelea hapa

    Wahusika wametoa onyo Kwa mamba wenye tabia za kuogelea ovyo wajitathmini upya.
  15. figganigga

    Waliotoa Kibali cha kuua Mamba Mkubwa Duniani wafikishwe Mahakamani

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
  16. N

    TAWA yafanya msako wa mamba tishio kwa maisha ya binadamu Rufiji

    Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
  17. EngFDM

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka Kinga ni bora kuliko tiba. Hapa ni Chemka kule boma ng’ombe. Sehemu pendwa kwa kuogelea na natural Massage...
  18. Pfizer

    TAWA yaweka kambi rufiji, elimu ya kuepuka madhara ya mamba na viboko yatolewa Na. Beatus Maganja

    Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa...
  19. Roving Journalist

    Kukabiliana na Wanyama waharibifu, TAWA yaua Mamba 3 na Boko 2 Bwawa la Mtera

    MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
  20. Travis Kitengo

    Koboko aka Black Mamba

    Ndiye huyu sasa!Ukifika Tabora karibu sana Urambo.
Back
Top Bottom