Mama yako ndiye anajua hatma yako tangu ukiwa tumboni au ukiwa mtoto mchanga.
Kuna jambo anaweza kuongea kama masihara vile, wewe haupaswi kulipokea kama masihara.
Mama yako akimwona mchumba wako tu anajua kuwa umepigwa au penyewe sema tu wamama huwa na tabia ya kupuuzia.
Msikilize mama yako kijana
USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO.
Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha.
Ni kawaida sana kuona watoto wengi waliolelewa na mama au ndugu wa upande wa mama kukosa mapenzi kwa baba zao...
Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi.
Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa.
Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako.
Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana.
Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe.
Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo.
Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu...
Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.
Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi.
Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake.
Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume
Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima...
Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.
Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee.
Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness
Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Ndugu zangu salaam sana
Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake
Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa...
Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu!
Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣
Anyway maisha yaendelee.
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina
Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume
Jana nilienda kumtembea mdogo wangu wa KIUME , nilipofika kuna kitu kikaniambia usibishe hodi sogea mlangani, Nikamsikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.