mama yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya. Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti inayozalisha nguzo za umeme na za TTCL. Huu msitu ndio Jaili aliutumia kuchinja watu ambao alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  5. JamiiForums Tanzania Wadada na style ya kujiuza na kujisponsa haiwezi kuisha kama mama zao wapo tayari kupokea pesa kutoka kwa wanao wanazopata kwa kujiuza na kwa masponsa

    Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa aanzie wapi kuwakemea watoto na tabia zao za umalaya maana kuchakatwa kwa jagina zao zimemsaidia hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi Ndo Niliyetoa Toner, Kwa Mama Yake Nilifuata Base Tuu

    Kuna siku nilikaa nikamtazama mwanangu kwa makini sana. Sio tu sura. Sio tu macho. Sio tu tabasamu. Tabia. Misimamo. Namna anavyoongea. Namna anavyojibu watu. Hata namna anavyokasirika. Nilicheka kimya kimya nikasema, “Huyu ni mimi kabisa.” Nilimkumbuka mama yake. Tulikutana mwaka 2015...
  8. JamiiForums Tanzania Augustino Polepole: Najua Humphrey Polepole yupo Kigamboni, mumpeleke kwa mama yake, mkimhamisha mtajuta

    Wakuu, Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali? Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Victor Mhagama ahojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa katika mchakato wa kura za maoni jimbo la Peramiho

    Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
  10. JamiiForums Tanzania Mane angezingatia kauli ya mama yake, basi tusingemfahamu leo

    Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama yake alimwambia wazi kuwa kucheza mpira ni kupoteza muda, akiamini kuwa hakuna njia ya mtoto wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

    Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo inamfanya Victor kuingia katika orodha ya watoto wa vigogo kadhaa wa siasa ndani ya chama...
  12. JamiiForums Tanzania Caesar Nero Alikuwa katili sana alimuua mama yake kwa kumcharanga mapanga, mke na akachoma maadui zake ili tu atawale kwa Raha

    Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa ndani ya siasa za Roma na ndiye aliyepanga kila hatua ili mwanawe apate kiti cha ufalme...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Poleni mliopata sintofahamu kutokana na baadhi ya mitandao kuandika nimefiwa na Mama Mzazi

    Habari iliyonifikia hivi punde, Kupitia ukurasa wa Gerson Msigwa, Instagram Marehemu Hannah Mayige (waliokaa, wa kwanza kulia), Mimi na watumishi wenzangu wa TBC Kituo cha Songea tulimuita Mama kutokana na jinsi alivyotuongoza akiwa Mkuu wa Kanda ya Nyasa wa TBC. Tulimwita Mama kwa sababu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021. She graduated in law in 2018 from the online Open...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

    Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tunachokiona, tuhuma kuwa Abdul na mama yake waliingiza makontena ya silaha ni sahihi

    Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika...
  18. JamiiForums Tanzania Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
  19. JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  20. JamiiForums Tanzania Aliambiwa asicheze na sisi, atakuwa chokolaa! Akafungiwa mwishowe amekuwa choko, Mama yake apigwa na kiarusi,Arusini

    Hii ni stori ya kweli mwana jf, Binafsi nilikulia Namanga Makangira, ni karibu sana na makazi ya Makamu wa Rais, yaani.kwetu kama tungevamiwa na majambazi tukampiga kelele za Mwizi hakika Makamu wa Rais enzi hizo alikuwa Dr Omary Juma angetoka nje kutupa msaada. Sawa kwetu kulikuwa uswazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…