Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa...