Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo.
Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
Anonymous
Thread
halmashauri
likizo
malipomalipo ya likizo
tanganyika
watumishi
Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo.
Yaani kama unadai laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi.
Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao.
Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
kigoma
likizo
malipomalipo ya likizo
mkoa
tanganyika
umbali
watumishi
Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo.
Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
Anonymous
Thread
ilala
kipunguni
kupisha
malipo
mashariki
mwaka
ndege
uwanja
uwanja wa ndege
Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma.
Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo mgonjwa hatoyatumia.
Kwa sababu ni ngumu kwa watu kujua, huwa wanalipia dawa nyingi na kuzikabidhi...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali za serikali
malipo
serikali
wizi
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa.
Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka.
Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
Anonymous (c723)
Thread
gharama
halisi
likizo
malipomalipo ya likizo
nauli
soko
umma
watumishi
watumishi wa umma
Habarini wanajukwaa?
Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho.
Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu...
Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
Habari wanajamvi, naomba kuuliza, Siku hizi nmeona Malipo ya kimtandao ya Automatic.
Yaani inakuja tu Command ya Lipia Tsh kadhaa kupitia Selcom.
Ina ku-command kuingiza tu Namba Ya siri
Je, ii kitu ipoje na hili kuipata natakiwa nifanyaje?
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika.
Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
Anonymous
Thread
malipo
mamlaka
miezi miwili
mwezi
taesa
ufafanuzi
uongozi
waajiriwa
Ndugu wasomaji
Nikisikitika kupata habari kwamba saivi city council ya dar es salaam wanahitaji mwagizaji mzigo yaani mwenye container aende ofisi za city kujulisha kwamba container yao inatoka na akafanye malipo ya contena kuingia mjini kabla ya container kuingia na isipofanyiwa hivo kuna...
Aise! Maisha siyo lelemama! Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na mijadala ya bei za kupaki bodaboda katika vijiwe mbalimbali, kwa Dar na mikoani.
Kilichonishangaza, mfano kwa Dar, vijiwe vingi kuanzia Laki Tano na kuendelea. Ili upake boda yako kijiweni, mfano stendi...
Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza.
Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
Anonymous
Thread
bidhaa
english
english medium
hewa
malipo
manunuzi
nyanza
shule
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe.
Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani.
Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna...
Anonymous
Thread
chuo
fedha
malipo
masomo
mtihani
udom
walimu
wanafunzi
Habari mjasiriamali,
Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa.
Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo Brela kwa usahihi
1. Lipia kwa simu
Mtandao wowote unaotumia chagua malipo ya serikali na uingize...
Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.
Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa...
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.