mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

    Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu. Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani. Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hutaki kugawana Mali zako halafu unafunga ndoa, una akili sawasawa KWELI? Ni Bora usioe tuu!

    Wazima wote! Hukumkuta Bikra! Huna uhakika watoto ni wako! Unajua Kabisa Mfumo wa Sheria za sasa katika Masuala ya ndoa unamgeuza mwanaume Msukule wa kuzalisha Mali na kunyonywa. Unajua Kabisa, hata mkiachana watoto wanaweza kuchukuliwa na Mkeo na hao watoto wakapewa mwanaume mwingine na usiwe...
  3. JamiiForums Tanzania Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya ECOWAS baada ya Mali, Niger na Burkina faso kujitoa

    Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya kujitoa kwao. Kwa taratibu za ECOWAS, uanachama hukoma takribani mwaka mmoja baada ya nchi mwanachama...
  5. JamiiForums Tanzania Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa rasmi Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
  6. JamiiForums Tanzania JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

    Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote. Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa kuwa zaidi ya dola milioni 260, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa uamuzi huo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watu wanakula rushwa na kuuza mali za umma tupo kimya, Gozibeth kuchoma gari lililochakaa mnajidai wazalendo na mna uchungu; Unafiki

    Wale watuhumiwa wa ufisadi na wizi wa mali za umma wengi wapo mitandaoni wanamshauri Mwanamziki Gozibeth asingechoma moto gari bali angewapa wahitaji au kulirejesha. Kuna baadhi ya wanafiki wamekwenda kutafuta na kifungo cha maisha kwenye sheria kama adhabu wanayotamani apewe. Baadhi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  9. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  10. JamiiForums Tanzania Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆

    Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele Tunguli KWA ajili ya kunywea maji Chungu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Barrick kusitisha kwa muda shughuli za uchimbaji madini nchini Mali

    Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali. Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  13. JamiiForums Tanzania Inawezekana kwenda kuokota "mali" Marekani?

    Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake. Kwamba, ni kawaida...
  14. JamiiForums Tanzania Mali waiga hatua za Magufuli VS Barrick

    https://www.reuters.com/markets/commodities/barrick-faces-fresh-restrictions-mali-signals-temporary-suspension-coming-weeks-2025-01-06/
  15. JamiiForums Tanzania Eti tajiri ni mtu mwenye pesa au mali kiasi gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani? Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa. Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mali aifananisha ECOWAS na kikundi cha kigaidi

    Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi. Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025 alipokuwa akiwahutubia viongozi wa kimila, kidini pamoja na wale wa asasi za kiraia. Jenerali Assimi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa is katika eneo la sahara wakamatwa

    Jeshi la Mali limethibitisha kuwakamata viongozi wakuu wa tawi la IS katika eneo la Sahara . Viongozi wa tawi hilo lijulikanalo kama Islamic State in Greater Sahala ( EIGS kwa Kifaransa)walikamatwa kufuatia operesheni ya kijeshi iliyofanyika mnamo Januari 3 2025 katika eneo la Amasarakad...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

    Habari Wadau, Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili. Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
  19. JamiiForums Tanzania Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…