Makumbusho (Kata ya Makumbusho, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. Mikocheni and Mwananyamala form the ward's northern and eastern borders, respectively. The ward is bordered to the south by the wards of Ndugumbi and Magomeni. Tandale and Kijitonyama wards are in the west. According to the 2012 census, the ward has a population of 68,093.
"Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama bilioni 1 na eneo lile lina ukubwa wa Ekari 50," - Rais @SuluhuSamia. #UzinduziKitabuChaSokoine...
Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 50 na unalenga kuhifadhi kumbukumbu za viongozi wakuu wa nchi pamoja na historia...
Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi.
Na mtangazaji nguli Mwanaethnomusicologist wa TBC taifa Masoud Masoud awe mkurugenzi mkuu wa Makumbusho hiyo.
Tutakuwa tumeitendea...
kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli na muda wa safari jambo ambalo linaathiri shughuli zao za kila siku
Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii
Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha...
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
Mwanangu juzi amekuja kiziara makumbusho ya taifa hapo, jioni namuuliza jinsi tour yake kama aliienjoy. Kasema hivi na hivi, kaniambia sijui kaona samak sijui vipi
Swali langu kwenu kwanini hamuweki michezo kama pembea, seesaw, trampoline, or mgahawa. Pale kila nikipita naona watoto wamejaa ila...
Habari waungwana!
Sisi tuliowapumzisha wapendwa wetu hivi karibuni makaburi ya Kinondoni tumeona ni jinsi gani ilivyo ngumu hata kupita katikati ya makaburi mengine. Kiufupi eneo lile limejaa halipaswi kuendelea kuwa sehem ya kupumzisha wapendwa wetu.
Ushauri wangu-
1. Serikali ifunge eneo...
Kijiji cha Makumbusho ni sehemu ya makumbusho inayoonesha nyumba na vifaa vilivyojengwa kihalisi kutoka kwa makabila machache ya Tanzania na liko katikati ya jiji la Dar es Salaam. Ni miongoni mwa makumbusho matano nchini, mengine yakiwa ni makumbusho ya Taifa ya Dar es Salaam, makumbusho ya...
Machi 22, 2024 Kutoka Mji mdogo wa Omurushaka katika Uzinduzi wa Makumbusho ya Banyambo inayoitwa KARAGWE HERITAGE MUSEUM, uzinduzi ulienda sambamba na uzinduzi wa Kitabu cha KARAGWE, HISTORIA, MILA NA DESTURI ambacho kimeandikwa na Mtaalam Bullet Ruhinda akishirikiana na Frontline Ruhinda...
China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi vinapatikana kwenye maeneo mbalimbali ya akiolojia hapa China.
Ikiwepo Guanghan takriban kilomita 40...
Yaani nimejikuta nacheka sana ndani ya daladala baada ya kumuona mwamba akigandamizia zipu yake kwa abiria wa kike aliyekuwa mbele yake na kila dada wa watu alipokuwa akisogea mwamba nae alikuwa akiambaa nae tu na chaki mpaka dada alipomshtukia na kumgeukia huku akimsonya huku mwamba akijikausha...
Habarini Wakuu!
Pole kwa wagonjwa wote Mungu aendelee kuwapambania na mkapate afya njema! Kwa wale ambao wapo wazma basi Kazi iendelee.
Japani ni mojawapo ya nchi zenye ustaarabu wa kale wa pekee sana na ina historia nzuri na tofauti na nchi zingine duniani. Mandhari ya kustaajabisha na...
Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu na kwa vizazi vijavyo.
Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Dkt. Frank-Walter Steinmeier alipotembelea...
Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho.
What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc
⁸
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amekutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Jamal al-Moosawi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 10 Oktoba 2023.
Rais Mwinyi amemkaribisha Jamal al-Moosawi Zanzibar katika kile kilichotajwa kuwa ni fursa za kuendeleza ushirikiano katika...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa.
Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu...
Tabora si haba kwa historia.
Mwaka 1975, Simba ilipigwa Na Yanga fainali ya Mapinduzi. Sasa Pale choma chankola, Igunga. Babu yake na Aden Rage, Mzee Dahel, alirecord matangazo ya ule mpira. Kisha Mzee akachukua bus mbili na kujaza mashabiki wa Yanga na kuanza kuzunguka mjini na spika zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.