makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa sana: Kwanini mtu ufurahi kujihusisha na Shetani?

    Napata masikitiko makubwa moyoni ninapoona baadhi ya watu katika forum hii wakijitambulisha kwa majina ya kishetani au yanayohusiana na uchawi. Nauliza kwa unyenyekevu lakini kwa uchungu wa rohoni: Kwa nini mtu achague jina la kumtukuza shetani, ambaye ni adui wa nafsi za wanadamu wote? Ni...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa before uchaguzi

    System imeamua. Mabadiliko makubwa before uchaguzi
  4. JamiiForums Tanzania Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

    Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;- Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

    Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga tumeumia sana, tuandae mapokezi makubwa kwa Berkane watakapokuja

    Sisi wa jangwani tumeumia sana. Ni muda muafaka tuandae mapokezi makubwa kwa Berkane watakapokuja maana hiyo ndio kazi tunayoiweza.
  13. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  14. JamiiForums Tanzania Je, hii ni ishara ya mabadiliko makubwa kwenye mindset za waTanzania?

    Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇 Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa. Wengi waliotoa maoni wanaonesha...
  15. JamiiForums Tanzania Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

    Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
  16. B

    JamiiForums Tanzania ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

    Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka? Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...
  19. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa magari makubwa ya masafa marefu huambatana na wanawake kwenye safari zao

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…