makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

    Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala Hili bado sijajua vizuri...
  2. JamiiForums Tanzania Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

    Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa. Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania. Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani. Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Uanachadema na mapenzi makubwa kwa Lisu! Unaamini misimamo ya Lissu itaponya Taifa letu? Nini maoni yako

    Salaaamu Wanabodi....! Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius Kamabarage Nyerere na siyo kuishi kwenye utawala wake Ila nasikia huyu baba alikuwa na misimamo...
  5. JamiiForums Tanzania Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  6. JamiiForums Tanzania Matatizo matatu makubwa kwenye Dira ya Taifa 2050

    1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiukataa huu Ukweli Mchungu wa Dudu Baya ni lazima tu utakuwa una matatizo makubwa ya Akili

    Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%. Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
  8. JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na kifo Bernad Membe something is wrong .

    ...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ma box makubwa matupu , wapi wanauza mabox matupu?

    Habari wadau Wapi wanauza ma box ?
  11. JamiiForums Tanzania Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

    Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini ZAWADI KWA WASHINDI 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 Mshindi wa kwanza Tsh laki nne Mshindi wa pili Tsh Laki mbili na nusu Mshindi wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

    Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli. Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes Public...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  16. JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima na waumini wake wafanye maombi makubwa ya kamatakamata kuwazuia polisi wanaofunga kanisa lao. Kwani wenye kosa ni waumini au ni askofu?

    Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu mwenyewe? Huu ni uvunjifu mkubwa wa haki ya kuabudu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Polisi na...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna maafa makubwa huko Israel!

    Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete! Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel' Sunday 15 June 2025 04:14, UK...
  19. JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  20. JamiiForums Tanzania TENDA: Malori makubwa (Semis) yanahitajika

    Habari za mchana. Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri. Vigezo: Kuanzia tani 30 na kuendelea. Nicheki 0683535699
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…