Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo.
Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Kwa niaba ya mashabiki wa Simba naomba radhi Kwa dhambi ya kulinganisha Pacome mchezaji wa World Cup akiwa na timu kubwa Cote D'Ivoire na magharasa yetu ya Mpanzu na Ahoua
Leo tumewaona Mpanzu na Ahoua wakicheza kama wana Mabusha
Nasema hivi Pacome hapa TANZANIA ana ulimwengu wake
Naomba...
Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani.
Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji...
Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
Nianze mimi
Walioleta mafanikio
CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank
NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu
NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea.
Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya...
Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema
Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie
Angalizo: nazungumzia ndoto...
Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021.
Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
Wakuu!
Ukweli siku zote ni mchungu, ukweli unatabia ya kuumiza na kuibua hasira.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Mtu yeyote anaye ongea sana, ni yule akifika mtaani kwenu siku moja tu inamtosha kwake kujuana na kila mtu utadhani kazaliwa eneo husika,
interest zote zipo kwa watu, ni mcharuko...
Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
Nikupe utangulizi kwanza
Nguu/ngulu inamaanisha kabila husika au eneo/mamlaka ya kabila husika. Nikitoa mfano utanielewa zaidi, yaani ukimuuliza kijana wa kinguu wewe ni kabila gani atasema mimi ni mnguu/mngulu ambapo kwa kiingereza atasema tu nguu/ngulu. Kadhalika akiulizwa kwenu ni wapi...
Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo.
Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11.
Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
Anonymous
Thread
bank
fedha
iangalie
kwani
makato
makubwa
nmb
vizuri
wizara
wizara ya fedha