makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Hadithi ya Mjasiriamali Anayejivunia mafanikio makubwa Kutokana na Biashara ya Kuku

    Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
  2. JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dhihaka: Serikali yatoa Nyongeza ya 2% ya pensheni kwa wastaafu

    Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini! Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000 1,000,000 nyongeza ni 20,000 Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
  4. JamiiForums Tanzania Hakikisha mchepuko wako ana matako makubwa utanishukuru baadae

    Jumanne njema watafutaji wenzangu, Baada ya kusaka nyau ya big booty kwa wiki 3 mfululizo hatimae nikaangukia kwa dodo lenye msambwanda wake basi baada ya kukusanya stress za wiki nzima jumapili ya juzi nikaamua kuliomba gemu basi halikukataa wala nini. Of course tulisasambuana vya kutosha...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza na Tanzania kushirikiana kuzuia makosa makubwa yanayovuka mipaka

    Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo. Akizungumza katika ziara ya Maafisa kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania Makao Makuu ya Polisi...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

    Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
  7. JamiiForums Tanzania Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia

    KAZI KUBWA KWA MAENDELEO MAKUBWA. Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia ambayo ni kubwa sana na itachukua muda mrefu kuielezea lakini hata kipofu anaona kilichofanyika. Kuanzia kwenye ujenzi, ulinzi, usalama, demokrasia hakika kazi kubwa imefanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa wenye Madubwasha Makubwa kama Mbeya na Mtwara?

    Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia yanakuwa yamoto kama jiko la mkaa. Nadhani kuna uzi unaofundisha jinsi wanavyofanya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA kizazi cha Gz kushuhudia mabadiliko makubwa

    Wakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema, mwezi huu Mungu atatenda, ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha hawakuwahi kushuhudia Mwenyekiti tofauti na Mzee Mbowe. Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri ya kuwa Mzee Mbowe...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hii Operation Kata Funua ingetekelezeka ingelete Mageuzi Makubwa Nchini

    Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko. Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni? Sawa tumeona Operesheni kama 1. Operesheni Ukuta 2. Operation Sangara 3. Operation Baracuda 4. Operation...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais 2025-2030, Rais Samia aandae mchakato wa maridhiano awamu ya pili ambao utakuwa na mambo makubwa zaidi

    Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa. Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote. Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
  13. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  14. JamiiForums Tanzania Yapi ni matukio yako makubwa zaidi mwaka 2024 katika nyanja za siasa,uchumi michezo nk.?

    Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
  15. JamiiForums Tanzania Yapi ni matukio yako makubwa kimichezo 2024?

    Je, Matukio gani makubwa utayakumbuka katika ulimwengu wa kimichezo kwa mwaka 2024? Kwa upande wangu, ni mengi yametokea, Ila haya nadhani yamechukua nafasi kubwa 1.Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi kuu mara ya 30 na mara ya tatu mfululizo 2.Yanga kufuzu robo fainali CAFCL 3.Goli la Aziz ki...
  16. JamiiForums Tanzania Yaani mpunga na mahindi yalivyokubali shambani, mavuno yatakuwa makubwa, halafu mtu aniambie niandamane, sijui katiba mpya, siingii mtego huo

    Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje? Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali mezani. Imejaa kugawana madaraka tu, na nikiangalia sioni kama ntapata cheo chochote
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  18. JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Uchawa/Upambe: ni derogatory term, ni matusi makubwa ya nafsi ya mtu/utu wa mtu

    definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao wana very low level of thinking, especially RATIONAL THINKING!Hivyo mtu akikuita chawa, amekutukana!
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…