Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania,
Lissu hana mipango ya kesho yake, anaenda tu kama gari lililokosa mwelekeo, siasa za mtandaoni zimemponza...