makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. JamiiForums Tanzania Makonda na sakata la Jezi: Mgongano wa Maslahi?

    Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile. Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa Habari na Michezo 2023, naye ana lake. Cha kushangaza ni kwa nini sakata jhili liko mbele ya umma...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  3. JamiiForums Tanzania Makonda ni kama Yanga tu

    Hanaga jambo dogo. Huyu jamaa ukishindana naye ni sawa na kushindana na kichaa.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda haendi Kizimkazi kutoa salamu za rambirambi?

    Nayeye hajasikitishwa wala kuguswa na kifo cha ubavu wa mama yetu kipenzi au nini tatizo?
  5. JamiiForums Tanzania Gwajima kumpasua vipande vipande Makonda jumapili hii

    Naliamsha dudeeeeee (kwa sauti ya gwajima). Jumapili mje kwa wingi sana na virekoda vyenu.
  6. JamiiForums Tanzania Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

    Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
  7. JamiiForums Tanzania Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

    Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao. Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makonda anavyoitangaza Tanzania kupitia watu mashuhuri katika sanaa, michezo na burudani

    Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda: Wananchi Mnaichanganya Serikali

    Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂 Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂 Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
  11. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Sandaland kudhamini jezi timu ya Taifa, Makonda kaja kunisapoti.

    Nilikuwa naona aibu kuona timu ya serikali imevalishwa fulana badala ya jezi. Nilikuwa namuoenea huruma Rais wa TFF kavaa tambala badala ya jezi. Mwanzo nilimkataa Sanda kwakuwa alikuwa anatoa jezi ya Simba pia, lakini baadae nilimkataa kwasababu ya ubora wa jezi. Sina jezi ya Timu ya Taifa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Makonda namuelewa Sasa! Ana haki ya kuzifurusha Jersy!!!

    Kutokana na Press ya Makonda kuna vitu kavigusia na sasa nimemuelewa!,Kumbe watengeneza Jersy hawakutaka kusubiri kwa maana walishatengeneza jersy kindi kirefu kabla ya vikao na serikali maana yake wamekurupuka,Pia mahudhui yanatakiwa kuwekwa!Pia mkataba ni wakimagumashi auonyeshi ni mkataba wa...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema jezi za timu za taifa zilizozinduliwa ni jezi mbaya sana hazina ubunifu hata wazisugue na dodoki “Jezi ni mbaya, hata ukiisugua na dodoki, pambaneni kuifanya jezi iwe...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda Afafanua Kuhusu Wasanii Walioitwa na Waziri Katambi, Asema Ni Jambo la Kawaida Kiutendaji

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuwaita wasanii na kuzungumza nao ni jambo la kawaida kiutendaji. Kauli hiyo imekuja wiki kadhaa baada...
  16. JamiiForums Tanzania Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  17. JamiiForums Tanzania Makonda: Wasanii kulipwa Tsh. Bilioni 2 za Mirabaha Novemba

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa jumla ya Tsh. Bilioni 2 ziko tayari kutolewa kama gawio la ada za hakimiliki (copyright levy) kupitia COSOTA kwa wasanii nchini. Makonda ameeleza kuwa utaratibu wa maandalizi ya ugawaji wa fedha hizo unakamilishwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  19. JamiiForums Tanzania makonda ndie rais ajae.....

    sote kwa pamoja tunaona utendaji kazi wa makonda, heko heko, ccm mbele kwa mbeleee....hawapumui wapinzani...ccm mbele kwa mbele....baada ya kumpata rais msukuma magufuri sasa ni zamu ya makonda..kijana kutoka mwambola katika wilaya ya misungwi, hekooooo hekooo
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda na Lamine Yamal uso kwa uso Jijini Barcelona

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira wa miguu duniani na klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal. Ziara hiyo ya kiserikali imefanyika wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…