Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umepigwa katika shambulio la makombora, vyanzo vya usalama vya Iraq vimeiambia shirika la habari la Reuters leo Jumamosi.
Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, shambulio hilo limesababisha moshi kuonekana ukipanda kutoka katika jengo la Ubalozi huo...