makazi

  1. Kambi ya Jeshi Lugalo ihamishwe serikali ipime viwanja vya makazi eneo hilo

    Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
  2. Israel Yatangaza Kuchukua Maeneo Gaza Ikiwaamuru Raia Kuyahama Makazi Yao

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli." Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
  3. Ndege-vita za Israel zafanikiwa kuingia iran na kuyapiga makazi ya ayatollah khamenei.!

    Majeshi shupavu ya Israel yameweza kujipenyeza na kuingia Iran kupitisha mpaka wa Iraq na kuweza kuyashambulia makazi ya Ayatollah Khamenei mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na serikali ya Iran kutokana na shambulio hilo lilivyokuwa kuna uwezekano mkubwa Ayatollah kuuwawa kwenye...
  4. Zaidi ya Wananchi 100 wa Mitamba - Kibaha waliobomolewa makazi yao wafika Mahakamani Kuu (Dar) kusikiliza hatma ya kesi

    Zaidi ya wananchi 100 kwa niaba ya wenzao kutoka Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani wamefika katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Aridhi wakiambata na Wakili pamoja na baadhi ya viongozi wao kusikiliza shauri lao, ambapo wananchi takribani 3000 wanadai kuchukuliwa ardhi yao na...
  5. Maeneo 111 yenye makazi duni nchini kupangwa upya

    Maeneo 111 katika mikoa 24 yenye makazi duni na yanayoendelezwa kiholela nchini, yanaanza kufanyiwa maboresho kupitia upangaji upya wa miji, huku Serikali ikiahidi kushirikisha wananchi kwa karibu katika mchakato huo. Hatua hiyo inatekelezwa chini ya Programu ya Uendelezaji wa Miji...
  6. K

    Viwanja vya makazi vinaongezeka ila mashamba yanapungua

    Sijui kama naliona vibaya jambo hili. Kila mahali mahitaji ya viwanja vya makazi yanongezeka kwa kadi hasa kwa sababu ya idadi ya watu kuongezeka. Mahala palipokuwa mashamba katika Majiji, miji, Wilaya, vijiji na vitongoji leo ni makazi, viwanda shule, vyuo nk. Miaka kama 50 ijayo sijui hali ya...
  7. K

    MAKAZI YANAONGEZEKA NA MASHAMBA YANAPUNGUA.

    Nimekuwa nikiwaza, makampuni ya kupima viwanja yanavyoongezeka na upanuzi wa viwanja kwenye Majiji, miji, halmashauri, vijiji na vitongoji. Bahati mbaya sioni juhudi za kuwaza juu ya maeneo ya kulima hasa kimkakati. Idadi ya watu wanahitaji viwanja inaongezeka ila mashamba yanageuka kuwa...
  8. Mpangilio wa makazi jijini Dar es salaam

    Nimejaribu kuwaza namna na mpangilio wa Makazi haswa kwa uzoefu wangu kuishi Jiji la Dar. Inakuwaje huwezi kuona hili ni eneo flani wanaishi matajiri na halipaswi kuwa na viklabu uchwara au maduka ya Mangi kama Masaki. Nashangaa Masaki pia kuna wauza njegere na wanunua vyuma chakavu kibao...
  9. Waziri Silaa asisitiza umuhimu wa Anwani za Makazi katika kurahisha utambuzi na utoaji wa huduma

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma mbalimbali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 06 Februari...
  10. Makazi Mapya Kwa watu wenye vipato vya Kati Dar/Pwani

    Ndugu wanajamvi. Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu. Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa...
  11. Hii confidence ya kununua nyumba za watu na kuzifanya makazi mnapata wapi?

    Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo. Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila...
  12. Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  13. Waziri Silaa: Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) Unasomana na Mifumo 13 ya Huduma Serikalini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini. Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
  14. Makazi ya Magori wa Simba Sc kijijini kwao Rorya: Wanangu tutafute hela

    Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
  15. KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  16. Majengo mengi Kariakoo yanapaswa Kubomolewa haraka! Nyumba za Makazi zimegeuzwa Stoo za Mizigo mizito

    Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na changamoto kubwa ya majengo mabovu. Majengo haya, ambayo awali yalijengwa kwa matumizi ya makazi, sasa...
  17. Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

    Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
  18. Sijawahi kuvielewa Viwanja vya futi 50 x40 kwa ajili ya makazi

    Ndugu wanabodi. Kuna utitiri wa uuzaji wa viwanja vidogo sana kwa bei inayoanzia laki nane mpaka milions kadhaa. Nikipiga hesabu futi 50 kwa 40 hapo utajenga nini. Au tunaenda kutengeneza vingunguti nyingine. Ushauri wangu kama huna hela ambayo unaweza kupata robo au nusu heka.hapa mjini kwa...
  19. Waziri wa Israel awaita wananchi wa Israel kuanzisha makazi Gaza ya kaskazini

    Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
  20. Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…