makazi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mazoezi ya Wanajeshi ya kutumia silaha katika eneo la Nyamaitagi, Serengeti yanasababisha hofu kwa wananchi

    Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani. Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kaya 67 za Msakangoto (Tanga) tumebomolewa makazi yetu, tunalala nje, tunaambiwa Mwekezaji atupe laki 2 tuondoke!

    Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika kesho yetu kwani tunaona kuna dhuluma, uonevu na kutelekezwa tunakopitia wananchi wa Kaya 67...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika kuomba barua ya utambulisho

    Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika mchakato wa kuomba barua ya utambulisho. Tangu wiki iliyopita mfumo huo haujafanya kazi; kila unapojaza taarifa unaambiwa kuwa kuna hitilafu imetokea. Pia, namba za msaada zinazotolewa hazipatikani, hali inayowafanya waombaji kushindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kero: Makanisa ya walokole katikati ya makazi ya watu

    Kuna mtaa nipo hapa nimekuja kumtembelea ndugu yangu ni mgonjwa, sasa bana jirani hapa Kuna kanisa la WALOKOLE, mda mwingi wanapiga maombi ninaweza kusema ni ya kelele sana, zimekua kero kwa wagonjwa na wazee wanaohitaji utulivu. Inakuaje mtu mnaweka maspika makubwa mnaelekezea kwenye madirisha...
  5. JamiiForums Tanzania DC Johari Samizi: Dampo lililokuwa katika makazi ya watu Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi limeondolewa

    Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi unaosababisha Wananchi wavute hewa chafu usiku kucha, hatimaye hatua zimechukuliwa. Mdau alidai Wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa ajili ya nani?

    Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala yake, aliuliza swali lililogusa kiini cha mjadala wa makazi nchini. Hivi kweli mwananchi wa kipato...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  8. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Suala la dampo katika makazi ya watu Kata ya Usagara, litashughulikiwa na DC na Halmashauri ya Misungwi

    Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye makazi yao, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ilivyokuwa ~...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie

    Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi! Ni miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali wameharibu kabisa makazi ya kikoloni ya Masaki na Oysterbay, leo wanalia makelele

    Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji. Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali. Leo viongozi wenzao...
  12. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Ukraine kupiga makazi ya wanafunzi ,Kiev yapondwa pondwa .

    Wameanza kulia kulia na kuweka vikao kujadili silaha iliyotumika used a powerful hypersonic Oreshnik ballistic missile in an overnight missile and drone attack on Kyiv, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sunday. Russia's army later confirmed it had used the missile. The EU's top...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkulima amepanda Mabingobingo kwenye Makazi, Wananchi tunahofia Usalama wetu

    Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu. Nyasi hizo zimekuwa zikizua wasiwasi mkubwa kwa wakazi kutokana na urefu na wingi wake, hali inayodaiwa kutoa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kanisa (El Bethel Church) lipo katika makazi ya watu, wahusika wanaweka muziki kwa sauti ya juu inakuwa kero

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na vibali kutoka mamlaka husika. Kanisa hili limekuwa na ibada zisizo na mpangilio na kuweka music kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Beside Tanzania, ni nchi gani Africa ungechagua kuweka makazi ya muda mrefu?

    Mimi ningechagua Botswana, Kuna demokrasia, kuna utulivu, hakuna mfumuko wa bei, lakini pia ni nchi inayoongoza kuwa na wadada wenye makebo makubwa.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kuna watu wanauza Dizeli kinyemela Kijiji cha Sukamahera, Manyoni kisha wanahifadhi katika makazi ya watu

    Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni. Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza mafuta kwa wafanyabiashara ya “sheli Bubu” na mafuta hayo yanahifadhiwa katika nyumba za makazi ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Hoteli zetu hazitoshi wageni AFCON, tunataka kuhakikisha makazi binafsi yanaweza kuandikishwa yakatumika kama Airbnb

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…