Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC kiliongozwa na Mkuu wa wilaya Mwenda.
Katibu wa kikao hicho mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, alitoa...