makanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  2. JamiiForums Tanzania Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa. Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

    Hoja iko wazi. Naomba niwasilishe.
  4. JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Kwa sababu Dini mmezigeuza kuwa biashara na utapeli Mimi binafisi nimejitolea kuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani. Hizi ndio zimekuwa sababu zangu kuu. Dini za sasa ni biashara na utapeli. =>Ukubali ukatae Leo hii dini zimegeuka kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi haya mafundisho ya dini tunayopatiwa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa mafundisho haya haya?

    Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
  6. JamiiForums Tanzania HIvi bado uko makanisani mnadanganywa kuhusu hili?

    Mnara ulianguka kwa sababu ulikuwa umejengwa vibaya. Kituo cha Anga hakijanguki kwa sababu hakikujengwa vibaya.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

    I hope mko poa wakuu. Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi. Kuna; -Mchango wa ujenzi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameacha kwenda makanisa ya kilokole na yanayoanza kuegemea huko, si rahisi kula jasho la mwanaume rijali kizembe na wamechoka maigizo

    Makanisa ambayo at least utawakuta wanaume ni Roman Catholic, Wasabato, Moravian, n.k. Maigizo ni machache, Wachungaji wanaishi ndani ya uwezo wao, kuna urugu chacha za kugombaniana mali, n.k. Kwa mtazamo wangu, makanisa mengi ya kilokole na hata yale yanayoanza kufuata mkondo huo, kama baadhi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ni nguvu ya Roho Mtakatifu ndiyo maana kanisa la Wasabato ni kanisa pekee duniani ambalo waumini wake hawaami kwenda makanisani mengine

    Niwatakie Sabato njema enyi watu wote wa Mataifa
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wanapoongea huwa kama wanaongea na wanawake tu makanisani?

    Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu. Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume. Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini makanisani hili hutokea?

    Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka Wanaume 1 Tu Kati ya 10 Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno mazito na yenye kubeba uzalendo yaliyozungumzwa na Mheshimiwa waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean siku ya Leo. Soma hapa 👉Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ametoa rai kwa wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Shetani asingekuwepo tungeenda kusali makanisani na misikitini?

    Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae) Nitatoa mfano Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza bahasha za ondoleo la dhambi badae mambo ya kabadirika. Ukija kwa walokole shetani anatumiwa kama...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
  16. JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia nyumba za Ibada na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya

    Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
  18. JamiiForums Tanzania Uovu unatawala...... Leo kuna moto makanisani balaa

    Wakatoliki wote wanakemea uovu unaondelea kwenye nchi yetu.. Walutheri na sisi hatujabaki nyuma, kukemea japo huko juu viongozi wetu hawalushi makemeo wazi wazi, lakini waumini wote tunapewa neno la kutufungua fikra zaidi. Mchungaji wangu leo kanisani kafundisha Mambo mengi kwa ufupi. 1...
  19. JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…