makamu

  1. JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  4. JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

    Mhe. Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  6. JamiiForums Tanzania NMB wafungua tawi Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais

    Benki ya NMB yazindua tawi jipya Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais Philip Mpango. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo ameipa Benki ya NMB baraka zake na kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma na kuipongeza kwa uthubutu na kuwafuata Wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025, huyu mzee anazidi kumtia makamu tumbo joto

    Habari zenu wana JF wenzangu, Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango...
  8. JamiiForums Tanzania Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

    Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi. Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23

    Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
  12. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  15. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais awataka Wanasheria Kuchukua Hatua Kali Dhidi ya mawakili wasio waadilifu

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

    Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa? Nina...
  19. JamiiForums Tanzania Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…