Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
Makampuni ya kutengeneza magari ya China sasa yanaongeza juhudi za kuingia katika soko la magari la Afrika, yakilenga magari ya umeme na magari mseto ya bei nafuu, katika wakati ambao dunia imegubikwa na siasa za kijiografia na kuongezeana ushuru bila sababu, na kuzuia ufikiaji wa masoko ya...
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa.
Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
Tumsifu Yesu Kristu
KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno.
Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
Kuna makampuni unaweza kudhani yalianzishwa kijijini yamefungua branch mjini, wafanyakazi zaidi ya 50 % ni wa kabila moja.
na kupeana nafasi ni rahisi sana kwasababu hata protokali za ajira ni kampuni yenyewe inajisimamia
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 )
Windows 11 -...
Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau.
Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription.
Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
By Jacob Maganga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako.
Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online.
Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya...
Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla.
Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini.
Lakini...
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro.
Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
Mwaka 2004 Safaricom waliingia mikataba na Huawei wawatengenezee system ya kuwawezesha kuwa na billing system walioiita M-Pesa. Huawei waliwazungusha hadi CEO akaenda China akasitisha mkataba. Alivyorudi akawa anapokea simu kutoka kwa wabunge na mawaziri wakimtaka arudishe mkataba. Waziri wa...
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.