TUMEONDOA VIONGOZI 48 WA IRAN KWA SHAMBULIO MOJA Donald Trump
Rais wa Marekani Donald Trump ameiambia Fox News kwamba katika mashambulio ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, viongozi 48 wa kiwango cha juu wa Iran wameuawa “kwa shambulio moja.”
Trump alisema operesheni inaendelea kwa...
Israel imedai kuwa “idadi kubwa” ya viongozi wakuu wa kijeshi wa Iran waliuawa katika wimbi la kwanza la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
Jeshi la Israel (IDF) limesema limewaua makamanda 40 wa ngazi ya juu, likieleza kuwa ni “shambulio la kihistoria”...
Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake.
Maelezo kuhusu taarifa
Onyo: Taarifa hii ina maelezo ya vurugu iliyokithiri na marejeleo ya kujiua...
Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.
Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.
Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
Shalom Makamanda
Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
Makamanda Shimboni!
Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa?
Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa.
Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi...
Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola.
Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT.
Chadema wamekuwa wanatumia njia mbalimbali kujaribu kushika dola, na waliwahi kufanikiwa japo kidogo...
Shalom Makamanda,
Sasa kila mtu anasikilizia kwenye mitandao ya kijamii shughuli imedoda huko twendeni tukaanikize maana tumepiga sana tambo karibia mwezi mzima sasa ndo muda wa kutoka tuachie keyboard jamani.
Tuache woga.
Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia soma
> John...
ccm
chadema
heche
john heche
john heche akamatwa
machafuko
mahakama
makamanda
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
sana
serikali
serikali ya ccm
Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi.
1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe...
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.
kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
Kobazi ni bure kabisa!
Makamanda waandamizi takriban 20 wa jeshi la Iran wameliwa vichwa na IDF.
Huu si tu ni uzembe, ni upumbavu wa hali ya juu wa hao makobazi.
Wanachojua ni kupayuka takbiiir tu lakini akili kichwani hamna.
Tokea huu mzozo wa Israel na Hamas na Israel na Iran uanze, no...
Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA.
Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa...
Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
Habari Wanajamvi?
Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA.
Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
Hii ni taarifa iliyotolewa na IDF
The Director of Hamas Security Operations in the Gaza Strip, Major General Mahmoud Abu Salah as well as his Assistant and the Director of Investigations, Brigadier General Hussam Shahwan were both Eliminated by an Israeli Airstrike last night near Khan Yunis in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.