makalio makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    Hivi kwanini mchepuko lazima awe na makalio makubwa zaidi?

    Eti wakuu.?
  2. Abtali Mwerevu

    Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  3. Stability

    Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  4. Stability

    Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

    Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
  5. Nusratt

    Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  6. Mtunza siri zako

    Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  7. Stability

    Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  8. Stability

    Binafsi hadi hii leo sijawahi kukutana na mdada mwenye makalio makubwa (curvy) halafu eti anaishi maisha ya kuunga unga

    Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still anakula vizuri zaidi ya sisi tuliorudi veta.
  9. Stability

    Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  10. Stability

    Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
  11. ELI COHEN

    Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

    Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle. Sasa wakikutana na no...
  12. Money Penny

    Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  13. kyagata

    Wazungu hawapendi wanawake wenye makalio makubwa. Haya mambo yako huku kwetu Afrika tu

    Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani. Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio? Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona. Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na...
  14. ELI COHEN

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  15. Yoda

    Kwanini wanaume wengi wa Afrika/blacks wanavutiwa zaidi na wanawake wenye makalio makubwa sana?

    Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao huvutiwa zaidi na wanawake wenye makalio madogo?
  16. S

    Trends za muonekano zinavyowatesa wanawake enzi na enzi

    Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya. Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
  17. Jeep wrangler

    Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

    Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti. mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
  18. Agamemnon

    Uraibu wa mizigo yenye makalio makubwa

    Hii imekaaje wanazengwe Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri. Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti sehemu Hili tatizo napatwa wapi matibabu yake?
  19. TUKANA UONE

    Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
Back
Top Bottom