Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ilikumba sehemu za jiji la Kisumu Alhamisi, Oktoba 8, na kusababisha uharibifu wa magari, miti, mabango na majengo, huku mamlaka zikiwataka wakazi wa maeneo yaliyo katika hatari ya mafuriko kuchukua tahadhari na kuhamia sehemu salama inapohitajika...