majukwaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  2. Think2

    Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

    wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ? 😁😁😁ila wanajua daah au basi
  3. MjukuWaBabu

    Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

    SAMIAAAA SAMIAAAA SAMIAAAA Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
  4. NALIA NGWENA

    Mna uhakika CHADEMA wakipewa dola wataweza kuwafikisha katika nchi ya ahadi kama wanavyoimba majukwaani?

    Katika siasa, maneno ni silaha kubwa. Vyama vya upinzani hujenga matumaini, huahidi mabadiliko, na hujenga taswira ya "nchi ya ahadi", mahali ambapo kila mwananchi atafaidi matunda ya uhuru, haki, na maendeleo. CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, kimekuwa mstari wa mbele...
  5. M

    Maneno ya majukwaani yanaweza kuathiri hukumu kwa kesi iliyopo mahaamani?

    Nimejikuta na kiu ya kujifunza kutoka kwa watu wa kada ya Sheria mliomo hapa jf Kama hamtojali kutumia muda wenu kutuelimisha. Nitafurahi Kama mtanisaidia kuelewa juu ya kauli zinazotolewa nje ya vyumba vya mahakama zinavyoweza KUATHIRI mwenendo na hukumu ya kesi ILIYOPO mahakamani.
  6. kagoshima

    PreGE2025 Nani kamsikia Makalla akisemea dhidi ya ufisadi ulooneshwa na CAG, utekaji na, mauaji holela ya raia huko majukwaani zaidi ya kuitaja CHADEMA?

    Wadau hamjamboni? Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi. Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

    VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru...
  8. Kabende Msakila

    PreGE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

    Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola? Uzanzibari vs...
  9. Erythrocyte

    PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
  10. Petro E. Mselewa

    Kinana akemea makada wanaowadhalilisha watendaji wa Serikali majukwaani

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa. Pamoja na kukiri kuwa chama tawala kinaisimamia Serikali na kuishauri, Kinana amesema si vyema viongozi na makada wa chama tawala...
  11. Fantastic Beast

    Usiamini Sera ya "Uzazi ni Bure" ni Siasa za majukwaani tu. Ukienda kujifungua unalipia kila kitu!

    Kwa wale ambao mmebahatika kupata watoto na mkatumia hospitali za serikali nadhani mnaelewa ninachoongea, kama kuna mtu hakuchangia hata senti basi aje hapa kunipinga. Hizi kelele za eti huduma za uzazi ni fix tu za wanasiasa huko majukwaani, ila ukifika labor ndiyo utajua hujui. Kuna mambo...
  12. G

    Ni wanasiasa gani waliochangia dini za wenzao majukwaani?

    Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais. Je, ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi...
  13. Erythrocyte

    Vwawa: Sugu aendelea kuwasha moto wa Katiba mpya Majukwaani

    Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati. Kwa mfano, Mimi Erythrocyte naweza kutangaza usiku huu kwamba nitafanya Mkutano wa hadhara Kyela kesho , labda...
  14. S

    Hadithi ya mjukuu kifuani mwa babu na Lissu anayecheza na akili za watu majukwaani

    Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia. Mtoto...
  15. T

    Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

    Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli. Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
  16. Nyankurungu2020

    CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

    Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu. Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu. Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
  17. K

    Tuwalazimishe viongozi wetu kuwa wazalendo na kuishi wanayoyaongea jukwaani

    Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi. Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na anayohubiri imekuwa vigumu na sisi kuwawajibisha viongozi waishi wanayoyasema. Leo viongozi wetu wako bize...
  18. J

    Kinana awataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani

    Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake Source TBC
Back
Top Bottom