Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia.
angalia hapa
Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge.
Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
Majizo amesagiwa Kunguni baada ya kuwatetea wasanii
Sijui mshkaji kajichanganya vipi mwanangu!
Watu wengine presha wanazitafuta wenyewe
Wakati mwingine iwe funzo kufunua vyungu vya moto kwasababu unaweza kuunguza mkono
Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili yeye na mkewe. Mbona hasemi ndugu zetu waliopoteza uhai anaona kipato cha wanamuziki wake bora sana...
Muziki wa Kenya ndiyo upo kwenye peak kwa sasa hata kabla ya MO29. Wakenya wako serious sana na kazi zao kuliko wasanii wa Tanzania.
Mimi nasikiliza sana mixing za DJs huko youtube, na nimelipia Premium kabisa. Ukisiliza mixing ya Wabongo kisha ukasikiliza na ya Wakenya, ni vitu viwili...
Hamjambo wote!
1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin.
2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti walijihusisha na Siasa kwani wale ni watoto wa kimasikini ambao wanapambania ndoto zao hivyo kuacha...
Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan,
Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000
sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka...
Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa.
Ila swala la bei ni jambo jingine.
Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete?
Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
Kwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy Majizo afikirie kuigeuza EFM jukwaa la Comedy huenda akapata faida zaidi kuliko sasa.
Habari wadau.
Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili.
Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini
Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.