majini

  1. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  2. Ritz

    Trump: Tumezamisha meli zote za Iran, hawana tena jeshi la majini

    Wanaukumbi. Video za IRGC za 2025 zinaonyesha vichuguu vya chini ya ardhi vilivyo na boti za mashambulizi ya haraka, makombora ya kuzuia meli na kile kinachoonekana kuwa migodi ya majini. Marekani iliharibu meli juu ya uso. Kilichojificha ndani ya vichuguu hivi ni shida nyingine kabisa...
  3. Equation x

    Uwepo wa majini huwa ni stori za kusadikika tu au uwa ni kweli?

    Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
  4. M

    Historia ya Majini

    Watu hujiuliza wana uhusiano na Waisilamu,Waisilamu Wanafuga Majini? Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu wameumbwa miaka 2000 iliyopita kabla ya kuumbwa mwanadamu,wao wanatuona sisi hatuwaoni,Jini ameumbwa kutokana na moto binadamu ameumbwa kutokana na mchanga na maraika wameubwa kutokana na...
  5. Castle_Lite

    Majini na Uislam Kamili - Quran

    Bila shaka hii aya sio ngeni. Quran 46 : 29 - 33 "Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya." "Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
  6. Pdidy

    Utajuaje una majini mahaba?

    DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA. 1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti. 2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama. 3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto. 4. Kutokudumu kwnye mahusiano kama ndoa au mchumba. 5. Kuwa na hasira za haraka. 6. Kukwama kwa...
  7. ELI COHEN

    Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
  8. ELI COHEN

    Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  9. Fbn

    Naomba kuuliza wajuvi: Hivi kwa nini wapandisha majini hawapendi kuwepo misabani au sehemu za shughuli nyingi

    Kuna dada mmoja ni bingwa wa kupandisha wale wanaodai walisilimishwa huku imani yangu naita mapepo maana sijui elimu yake. Sehemu yenye misiba,masoko yenye watu wengi hataki kwenda anasema yana mfanya kupandisha. Na sehemu ambayo anaogopa sana kariakoo
  10. Fbn

    Mfungeni kamba jamani na kama kumeshindikana muiteni sheikh kutuliza majini.

    Mda unavyozidi kwenda kutakuwa sio siri tena. Alivyokuwa anapokea kijiti tulijua neema ila kwa miaka 4 yake tushafikisha deni la trion 107,ufisadi wa kutisha,mauwaji yasiyo na ukoma na mambo ya ajabu. uchaguzi wa asilimia 98 ambao hata kama unapendwa. Cheo alichonacho kimemzidi akili na sasa...
  11. Hance Mtanashati

    GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
  12. hamis77

    Elimu kuhusu majini kabla ya binadamu

    Uislamu wa Majini na Historia Yao Kabla ya Mtume Muhammad ﷺ Katika Qur’ani na Hadithi, kuna maelezo yanayosema kuwa majini waliumbwa kabla ya binadamu, na walikuwa na uwezo wa kubeba dini na kumwabudu Allah. Hii inatupa msingi wa hoja na maswali mengi sana kwasisi tunaopenda kutoka nje ya box...
  13. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  14. M

    Kwanini miji mingi waliyotawala waarabu kuna kiasi kikubwa cha kutumia ushirikina wa majini ?

    Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k. Tanga Pwani Tabora Lindi Pemba
  15. Chizi Maarifa

    Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  16. Chizi Maarifa

    Mwaka 2002 nilitupiwa Majini pale Ilala. Yakaja yakakuta nakula kitimoto

    Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota...
  17. U

    Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  18. C

    Ninawasiwasi kuna watumishi wameoa majini yanayowapa utajiri au wao ndio majini yenyewe

    Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe. Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa. Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue anaona itakuwa ni usumbufu tu hakuna kuoa,ni kuimba na kusifu tu!
  19. MK254

    Viongozi wa Iran wanaamini kuwa Israel ilitumia majini kwenye vita vya juzi, haiwaingii akilini kuwa walipigwa kizembe

    Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje Mungu wa Israel aliwezesha vyote hivyo. Kuna viongozi wameanza kusema yote hiyo ilifanyika kwa nguvu...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

    Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako. Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
Back
Top Bottom