Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.
Muendelee kuwa na siku njema.
Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani.
Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura.
Jina langu lisiporudi mimi ninazila.
Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa.
Kindly advise, please!
Habari wana JF,
Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu?
Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje?
Je, sisi wenye vyeti vya taaluma vyenye jina la kati kati Initial pekee inatakiwa tufanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.