majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Inahusu wanawake wote siyo wasichana, tunaomba majibu

    Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana. Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini?

    Jamani naomba kuuliza mwenye taarifa au uzoefu wowote atusaidie kwa sisi tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini tujue wapo kimya hatuelewa lolote jamani
  3. JamiiForums Tanzania Majibu ya Dizasta Vina juu ya uwepo wa Mungu

    Wasalaam. Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA, Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa Mungu Siku za karibuni alivyo achia ngoma ya TRIBULATIONS Ile aliyo mdiss Rapcha ame nukuliwa akisema...
  4. JamiiForums Tanzania Vipi majibu yangu, unayaonaje?

  5. JamiiForums Tanzania Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao. Amesema hayo wakati akijibu...
  6. JamiiForums Tanzania Majibu ya HESLB

    Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi Bodi ya Mikopo (HESLB)
  7. JamiiForums Tanzania Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')

    Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

    Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
  10. JamiiForums Tanzania Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  13. JamiiForums Tanzania Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

    Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema...
  14. JamiiForums Tanzania Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

    Nimeichukua huko mjini X (zamani Twitter )
  15. JamiiForums Tanzania Nimefanya mtihani wa IQ online, Naomba mnipe ufafanuzi wa majibu!

    Wakuu mko poa? Nimefanya mtihani wa IQ mtandaoni na nilitarajia kupata matokeo yanayoonyesha namba ya kiwango changu cha IQ. Hata hivyo, badala ya namba hizo, nimeshangazwa kupata matokeo yanayoonyesha maumbo mbalimbali. Naomba mnipe ufafanuzi wa maana ya haya maumbo kwani nilitarajia matokeo...
  16. JamiiForums Tanzania Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

    Sina mtoto, nilikuwa nazingua tuu nione reaction yake. Na nilikuwa sirias kweli kweli nikiwa nnamwambia ili ajue sitanii. Majibu yake yakinifikirisha sana. Akasema, basi sawa, kuanzia sasa vitu vyote tunavyomiliki tubadili jina la umiliki, weka jina langu (lake). Nyumba, viwanja 3 (viwili vina...
  17. JamiiForums Tanzania Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

    Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo.... Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu. Naona kama haitofaa kufungua uzi kwa kila swali kwasababu ni mawazo ya haraka haraka tu, sidhani kama yana...
  18. JamiiForums Tanzania CWT tawi la Songea kwanini hamtoi hela za wastaafu waliopunjwa kuanzia 2016 hadi 2024 wakati nauli zao mlikula?

    2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri. Baada ya katibu...
  19. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawana majibu

    Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili! Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya swali la siku lililouliza kuhusu iwapo tulishawahi kukutana na taarifa potofu

    Swali lililoulizwa ni hili: https://www.instagram.com/p/DAJNUqTNURq/ ====== Majibu yangu Ndio, mara nyingi hukutana na taarifa ambazo zinaweza kuwa potofu, hasa kwenye mitandao ya kijamii au vyanzo visivyoaminika. Ili kubaini ukweli wa taarifa hizo, mbinu mbalimbali hutumika: 1. Kuthibitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…