March 11, 2022.
Mwenyekiti wa Taasisi ya ushirikiano uwekezaji katika sekta ya maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership) ambaye pia ni Rais mstaafu wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete;
Benki ya Maendeleo ya Afrika imesema kwamba dola za Kimarekani bilioni 64 zitahitajika kila mwaka...
Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi.
Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha kusukuma mitambo ya kutengeneza umeme.
Sasa, ukame unatukosesha maji mijini na umeme kwa pamoja...
Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
TANGAZO LA UFAFANUZI
Ndugu wateja tunapenda kuwafahamisha ya kwamba tangu Juni mosi 2022 bili zote za maji zilianza kutolewa kwa kutumia kikokotoo kipya kinachojulikana kwa jina la kitaalam MANDONGA- NDOIGE CALCULATOR (Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka)
Ukipata...
Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!
1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru
Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi mzima, wana kunywa maji Kwa kupangiana, kwamba mtu anywe Mara moja tu Kwa siku zaidi ya hapo, hakuna maji...
Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme.
Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?
Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.
Aibu kweli kweli.
hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola
Salama wandugu
Sijui tenda nitapata vipi Mimi mzalendo. Mimi nitazalisha nawauzia DAWASA. Kama tatizo kama hili linawashinda wasomi wetu hawa, kuna haja gani kuendelea kuwasema tu hapa JF bila kuwasaidia na kuisaidia nchi kama mzalendo namba 1.
Ni ndani ya wiki mbili huduma inaanza...
Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya:
Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi
Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali...
Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc...
Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini.
Kama hiyo haitoshi leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi...
Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk..
Kabla hatujaenda kwenye solution.
Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao
1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA).
2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA).
3. Aweso (waziri wa maji)...
Waziri Awesso hutoshei katika hiyo ( hii ) Wizara na muda mfupi tu uliopita nimetoka Kukusikia ukizungumza Radio One Nipashe na Kugundua kuwa hata Kichwani pia ni mtupu mno.
Unaongea ( Unatoa Maelezo ) yako Kienyeji ( Kiuswahili ) zaidi na siyo Kitaalamu na Kitaaluma halafu pia hauko that...
Sababu kuu zinazopelekea shida ya maji inayoendelea Jijini Dar es Salaam na mikoa mingine hapa nchini, ni zao la Watangulizi wa Mama.
Hii shida imekuwepo kwa muda mrefu sana, haijaanza mwaka jana mwezi April 2021, tusimnyooshee kidole SSH kwa sababu tu yeye ndiye aliye madarakani kwa sasa...
Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?!
Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba.
Nchi hii!!
----
WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu.
Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana.
Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
Sala Wakuu,
Ni aibu kwa Dar, Tanga na Zanzibar kuwa na Mgao wa Maji Wakati kuna Bahari.
Nashauri Serikali itengeneze Maji ya Bahari ili kuondoa tatizo la maji Dar.
Maji ya Ruvu hayatoshi. Pwani peke yake kwa Takwimu za Serikali ina Viwanda 1036 na vyote vinatumia hayo Maji. Achinjilia mbali...