maji

  1. JamiiForums Tanzania DC Busega: Madai ya Mgodi wa Dhahabu kutiririsha maji yenye sumu kwenye mto lilifanyiwa kazi

    Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji yanayodaiwa kuwa na sumu kwenye mto. Mgodi huo ambao unamilikiwa na Mzawa pamoja na raia wa kigeni...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nakunywa pungufu ya robo lita ya maji kwa siku, sioni madhara ya kiafya, Je ni kweli maji ni afya?

    Nimekuwa nikiona mara kadhaa inabidi mtu anywe lita 1 ya maji au zaidi kwa siku ili kulinda afya, kwangu hali ni tofauti. Kwa muda mrefu nimekuwa nakunywa mai pungufu ya robo lita kazi yangu ni ya kisomi nasukuma kalamu na kuongea hivyo situmii sana nguvu za mwili. Sehemu nilipo hakuna joto...
  3. JamiiForums Tanzania Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kijiji cha Nyangunge hawana maji baada ya vituo vya kuchotea kufungwa

    Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Idara ya Maji Nyegezi Mwanza (MWAUWASA) jitafakarini suala la ukosefu wa maji

    Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake! Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi wanawajibika au la! Nyegezi ni eneo lililoko mjini lakini mnaweza kaa hata takribani wiki tatu bila...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu jiandae, jamaa maji ya shingo na anataka kukufukuza

    "....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe." "...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu." Duru.
  8. JamiiForums Tanzania Afikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mita za Maji - Kinondoni

    Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya Sh904,277. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa). George amefikishwa...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa

    Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo. Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
  11. JamiiForums Tanzania KERO TARURA irekebishe miundombinu ya Malolo - Tabora, Wananchi tunateseka kwa Mitaa kujaa maji

    Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa kutaabika na wakati mwingine wenzetu kupoteza maisha kila kukicha. Iko hivi, sisi wakazi wa Malolo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kunywa maji ya kutosha 2025

    MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025 Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf! Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa kuanzia na unywaji wa maji ya kutosha. Sote tunafahamu faida za maji mwilini, lakini ni vipi hatunywi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 1991 jumuia ya Kigurunyembe ilivyokunywa maji yenye uzo wa mtu aliyekufa

    Tukio la kweli. Miaka ya 1990/89 Kuna mwanachuo alipatwa na celebral malaria ilipanda kichwani. Akaenda kulazwa kwenye zahanati ya chuo. Mbaya ZAIDI nesi wa zamu hakumpa sana kipaumbele basi yule mwanachuo akatoka akaenda kujirusha kwenye Mojawapo ya matanki makubwa ya kuhifadhia MAJI...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  17. JamiiForums Tanzania Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso

    Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi. Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji Tabata, DAWASA hawatoi taarifa yeyote; kwako Aweso

    Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…