maji

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kata kiu na Maji ya Mama

    Afrika comedy hazitokuja kuisha! Enewei kampeni zimeshaanza.
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Kijombe (Njombe) bado uhaba wa Maji ni tatizo kubwa, Mamlaka ya WANGIWASA fanyieni kazi hii

    Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu. Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe hapa Njombe uhaba wa maji ni kilio kikubwa kwa baadhi ya Wananchi hali inayosababisha kutumia maji...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  5. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Hatuna Maji katika kata za Isamilo na Kiloleli

    Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DAWASA kununua mitambo yenye thamani ya bilioni 13 kuzalisha maji Ruvu juu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam) inafanya ununuzi wa pampu nne zinazogharimu shilingi bilioni 13 kusaidia uzalishaji maji katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo mkoani Pwani. Akizungumza leo Februari 27 Kaimu Mkurugenzi Uzalishaji na Usambazaji Maji Mhandisi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Trace Music Awards zilikatishwa kutokana na maji kujaa karibu na Jukwaa

    Ninachojiuliza ni kwamba hawakujua au hawakufanya Survey ya eneo kabla ya kuweka Jukwaa ————————————— Tuzo za Trace kwa wasanii wa Afrika zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Visiwani Zanzibar, Tanzania, zilikatishwa kutokana na maji kujaa karibu na jukwaa. Tuzo hizo zilizoonekana kuchelewa...
  9. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Dunia ikilinganishwa na maji yake yote

    Maji yanachukua takriban 70% ya uso wa dunia. Hata hivyo, bahari hizi ni za kina kifupi ikilinganishwa na ukubwa wa sayari yenyewe. Na ni 0.5% tu ya maji ya dunia ambayo yanapatikana hii picha inaonyesha jinsi ambavyo maji yote ya uso wa dunia yangekuwa yakikusanywa katika mpira mmoja...
  10. T

    JamiiForums Tanzania KERO Sifieni mnavyoweza lakini huku Goba maji tunaletewa mara Moja kwa wiki tena usiku mnene

    Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata. Wananchi wamekata tamaa.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  13. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao. Je, hii ni sawa?
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  15. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mirija Ya Uzazi Kujaa Maji.

    Mirija ya uzazi kujaa maji ni hali ambapo mirija ya uzazi hujaa majimaji na kuvimba, jambo ambalo linaweza kuzuia mimba kutungwa na kusababisha ugumba kwa mwanamke. Tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji hujulikana kwa kitaalamu kama Hydrosalpinx. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa

    Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti serikali za mitaa watakiwa kuhamasisha wananchi kujiunga na mtandao wa maji ili kuvutiwa maji majumbani

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametoa wito kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoka wilaya ya Kigamboni kuhamasisha wananchi kuweza kujiunga na mtandao wa maji ili waweze kuvutiwa maji majumbani kwao. Mhandisi...
  20. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
Back
Top Bottom