majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  2. Rais wa Msumbiji awafuta kazi Wakuu wa Majeshi

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo wanaohusishwa na chama kikuu cha upinzani. Katika taarifa iliyotolewa usiku Alhamisi rais hakutoa sababu ya...
  3. I

    Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

    Serikali iliangalie hili. Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu. Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa. Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali. Mambo ya hovyo sana.
  4. Serikali ya Kenya ondoeni Majeshi yenu huko Somalia kisha imarisheni ulinzi mkali na ndani

    Hili ni bandiko la WITO Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
  5. Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…