majeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimeandaa majeneza 100, 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji

    "Nimeandaa majeneza 100: 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji Kauli hii maarufu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa China, Zhu Rongji, ni ishara ya msimamo wake mkali na usioyumba dhidi ya rushwa na ufisadi serikalini. Ujumbe wake mkuu ulikuwa kwamba vita...
  2. JamiiForums Tanzania Dada anayefanya biashara ya kuuza majeneza Mwanza, asimulia siku ya kwanza kufanya biashara hiyo alilia sana

    https://www.youtube.com/watch?v=odtsPqmTGP0
  3. JamiiForums Tanzania Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi

    Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo. Aidha Tunawahimiza...
  4. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za Mtumishi wa Sekou Toure kulazimisha watu wanunue majeneza kwake

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa kutumia nafasi yake kujineemesha binafsi na kuwakwaza wenye uhitaji wanaofika kazini kwake, Mkuu wa Mkoa...
  5. JamiiForums Tanzania Ulianzaje biashara ya majeneza? inapiration ilitoka wap?

    Kwa wale tunaofanya biashara kubwa hua kuna inspiration behind hio biashara, natam kujua wauza majeneza walianzaje
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuweka sanduku la kura pasipo Haki tambueni masanduku hayo yatageuka kuwa majeneza (Novena inaendelea)

    Uchaguzi Usio na haki ni laana, Hatuwezi kushiriki laana hiyo kwa mabango, nyimbo wala kwa kutiki wagombea haramu pasipo haki. Haki huinua taifa, Taifa haliwezi kusonga kama watu wake hawakupatana namna ya kwenda pamoja. Mungu anatusihi tuidai haki kwanza ili mengine yafuate! Yeremia 7:5–7...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya majeneza

    Mwenye uzoefu na biashara ya kuuza majeneza , naomba experience especially kwa hapa dar. Mtaji Location demand Kila kitu
  8. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vilio na simanzi KCMC Majeneza ya waliopata ajali Same yakiwasili

    ilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya magari mawili kugongana na kuwaka moto Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Ndugu hao pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

    Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi. Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
  11. JamiiForums Tanzania Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Majeneza ya kisiasa yasiyo na watu na hatma ya Taifa

    Mwenyezi Mungu ametupa macho na ufahamu ili tusifanye makosa hayo tena. History inatuambia hakuna mahali popote mauwaji ya kisiasa yalileta amani au mataifa hayo kuwa nabutulivu. Mauaji yakisiasa ni sawa na time boom 💥 ndio maana ma diktator wengi walikufa vifo vibaya au mataifa mengi...
  13. JamiiForums Tanzania Majeneza getini mwa Hospitali ya Amana hayaleti taswira nzuri kwa Wagonjwa.

    Habari wanaJamiiForums. Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima tulionao. Pili nishukuru kwa jukwaa hili ambalo linatupa fursa ya kutema nyongo zetu kwa usalama. Kwa yeyote kati yetu ambaye ameshawahi kufika hospitali ya Mkoa wa Dar es Salaam (Hospitali ya Rufaa) atakubaliana na mimi kwamba kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Aibu: Hadi majeneza tunaagiza kutoka nje!

    Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
  15. JamiiForums Tanzania Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  16. JamiiForums Tanzania Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

    Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao. Kwa mujibu wa Sheikh...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

    Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar. Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao). 1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wauza Majeneza na Dawa Pharmacies wakituambia Karibu tena tunachukia na kuwaelewa vibaya?

    Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena? Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu...
  19. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

    Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

    Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu yalikuwa magumu mno yaani mnoo! Mlo ulikuwa wa shida, nyumbani tupo nyomi yakutosha na magonjwa yakawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…