majanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Majanga ya moto na mbinu endelevu za kukabiliana nayo

    Ajali za moto katika jamii yetu zimekuwa ni majanga yanayohitaji mjadala makini kutokana na athari kubwa yanazosababisha pindi yanapozuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika taasis za umma kama vile vyuo, mashule na katika vituo vya biashara kama vile masoko na maeneo mengine. Athari zake...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna bora na ya kisasa kupambana na janga la moto

    SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA Historia Fupi yakweli: Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Maoni: Namna sahihi katika kupambana na majanga ya mara kwa mara ya MOTO nchini Tanzania

    MAJANGA YA MOTO Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo kubwa linaloikumba hii nchi na kuleta madhara makubwa kimaendeleo, katika nyanja zote ikiwemo afya...
  4. JamiiForums Tanzania Siku tukifika hapa majanga ya moto yatakuwa kitendawili

    Gari linaenda eneo la tukio bila kuwa na maji, alafu kesho wanasingizia kariakoo kuna tatizo la miundombinu. Nani kawaambia gari zipaki bila kuwa na maji?. Wenzetu wamefikia kwenye teknolojia kama hii hapa 👇🏾, sisi tusubiri sana.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

    Habari wakuu, Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars tunakuwa nazo kabisa kwamba usioe huyu au yule na tunazingatia, lakini kwenye nyumba hali bado ni tete...
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  7. JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Zimamoto: Changamoto ya maji Kariakoo ilisababisha kuchelewa kuzimwa kwa moto

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amesema sababu ya kuchukua muda mrefu kudhibiti moto katika Soko la Kariakoo ni kutokana na kutokuwa na sehemu za kuchukulia maji ndani ya Kariakoo hivyo iliwalazimu kuyafuata Airport. Changamoto ya mfumo wa maji uliopo katika eneo...
  8. JamiiForums Tanzania Majanga kama hili la Moto Kariakoo yanazidi kutukumbusha umuhimu wa Sekta Binafsi kwenye Uchumi

    Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi. Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa za siku hizi ni majanga

    Habari zenu wana jf? Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI) Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki...
  10. JamiiForums Tanzania Ile roho ya Nyerere kutojilimbikizia Mali na kutotapanya Aliitoa wapi? Mbona baada ya yeye tunapata Marais majanga tu?

    Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa. Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Majanga na Trauma zilizotokea awamu ya tano ikiwa madarakani

    Janga la kisiasa (Hatukupata vipaji vipya vya kisiasa) Bunge kuzimika laivu Ajari ya treni kule Dodoma Tetemeko la Kagera Mauaji MKIRU (Ikwiriri na Kibiti) na mikoa ya kusini Ajari ya kivuko Ukara (ukerewe) Kundi la nzige huko kaskazini Mlima Kilimanjaro kuwaka moto Isabella kuleta Corona Vifo...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita wekeni taa Uwanja wa Ndege wa Bukoba, msisubiri vifo na majanga

    Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
  14. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…