majaji

Queen Modjadji is the hereditary female ruler and queen of Balobedu, South Africa. She is known to be mythical and historical, and she is believed to have had powers that let her control the clouds and rainfall by bringing rain to her friends and drought to their enemies.
Female rulers were known as “rain queens” or “rainmakers” around this time. Furthermore, she brought rain to the regions of any visitors who offered her gifts and tributes. As a conspicuous figure in South Africa, transforming the clouds was her specialty. She was essentially not a ruler, but a rainmaker. Men relied on her ability for security, as she would provide rain for her town’s tribe as a shield.
The Lobedu (Lovedu) tribe believed that the queen exercised some general control over their seasons, and thus, she was held accountable for the effects of the rain conditions. She also had a team of assistants.
The queen also functioned as a ritual doctor who made medicines. The rain medicines were stored in earthen pots in a secure part of the village. Her reputation spread from Zambezi to the Southern Ocean as having medicines for all people, including medicines that made warriors invincible by crippling their enemies.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Uamuzi wa majaji unashawishiwa na vilio vya ndugu au marafiki?

    Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria. linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi. Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani? Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kazi kubwa anayofanya Lissu ni kuonesha madhaifu makubwa ya Muhimili wa Mahakama hadi majaji wanatetewa na mshatakiwa. CCM imeua mambo mengi ya haki

    Inaonyesha hutuna tena mfumo ulio huru KUSIMAMIA haki za raia wa nchi hii Kwa uhuru Hii ni hatari kubwa sana kwa taifa lolote duniani lisilokuwa na mifumo imara ya kutetea haki za raia wake Siku itakapofika Kila raia aanze kutetea haki yake mwenyewe litakuwa jambo la kutisha sana Nchi haiwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Lipumba: Inatisha majaji wa mahakama kuu kwa shinikilizo la CCM wanaeleza Uongo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi...
  4. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  5. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wanapaswa kujitosheleza kimamlaka na kiuchumi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  8. JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania As long as hakuna Independence of thé Judiciary, then hakuna Majaji Tanzania au in a broad sense Tanzania hakuna Mahakama

    Sifa kubwa ya uwepo wa Mahakama, NAMBA moja with exclusivity of any other factors, ni INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY Hiyo sifa hapa TZ hatuna. Hivyo hakuna mahakama. Kuna kusanyiko la wahuni wanatoa kinachokuja kichwani mwao kama so called Hukumu!
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashangaa kuwa kuna kikao kimekaa na kupanga hukumu yake kuwa 12/11. Awataka majaji waeleze limetoka wapi hilo na kwa sheria gani..

    Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao.. Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Majaji walioteuliwa toka ofisi ya mwanasheria mkuu, au ofisi ya DPP, ndio wanaoharibu sifa za mahakama yetu

    Nadhani majaji walioteuliwa toka ofisi ya mwanasheria mkuu, au ofisi ya DPP, ndio wanaoharibu sifa za mahakama yetu. Kwa mfano, usije shangaa Nassoro Katuga akauteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. Jaji mwenye background hiyo akiwa mahakama kuu ataendeleza tabia chafu za huko alikolelewa kitaaluma.
  14. JamiiForums Tanzania Nawatakia majaji na mahakimu wote nchini Tanzania amani

    Binafsi ninawatakia amani kwenu Majaji wote na mahakimu wote wa mahakama zetu na mabaraza yote ya haki nchini. Amani, baraka na afya tele viweke makazi kwenu mmoja mmoja iwapo mnakidhi bila kupunguza hata moja katika haya yafuatayo:- Meza yako inatoa hukumu ya haki Hauruhusu mahakama yako...
  15. JamiiForums Tanzania Majaji Mbuzi wa Mahakama kuna ujumbe wenu hapa

    GT Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
  16. JamiiForums Tanzania Inasemekana Wahuni wamewatishia Majaji kesi ya Dkt Malisa dhidi ya CCM ya Genge la Samia mpaka Muda huu 14/8/2025 ni Kimya !.

    Wakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?. Majaji wametishiwa na wametishika
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

    Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa. Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Heshima ya Majaji Tanzania imeshuka kwasababu ya kuteuliwa kisiasa

    Heshima ya Majaji Tanzania imeshuka kwasababu ya kuteuliwa kisiasa majaji wa zamani walikuwa kati wa watu wanao heshimiwa Tanzania Jaji Nyalali Jaji Munuo Jaji Chipeta Jaji Chuwa Jaji Mrosso Jaji Chande Jaji Ramadhani Jaji Warioba Muhula wa mwisho wa Kikwete mpaka sasa wamekuja majaji...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu. Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe" Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili" Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
  20. JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…