maishani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. K

    Kwa nini tujali kuhusu upatikanaji na uwezo shuleni na maishani?

    I am Kisaka Kyande, and this is my very long report on accessibility and ableism. Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics...
  3. nzalendo

    Jumapili ngumu maishani

    Naam katika maisha kuna kupanda na kushuka. Sasa moja na mbili kwa wenye kuutambua mguu wa Yesu pamoja na makandokando yetu huwa tunazingatia ibada. Kwa imani yangu binafsi kanisa ni kwa ajili ya watu aina yangu ambao si watakatifu. Naamka alfajiri kujiandaa kwenda ''Church'' ,,,kila nguo...
  4. Masai wa Town

    Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

    Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
  5. Megfar2001

    Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
  6. Oscar Lyrics

    Umewahi kupitia msoto maishani hadi ukajuta kuzaliwa?

    Umasikini ni kitu kibaya sana, -Utadharauliwa -Utasimangwa hata na watu wako wa karibu -Utaaibishwa na kudhihakiwa -Hakuna atakaekujali kwa sababu huna kitu -Kwenye vikao vya ukoo huwezi kuwa na sauti, ukiongea utaonekana unataka kuleta fujo In short ndugu zanguni tutafute pesa kama vile...
  7. Tauceti Rigel

    Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  8. Strong and Fearless

    Kuna Mitihani Tumekusudiwa Kuipitia Maishani , Hakuna Anayeepuka

    Katika maisha haya ya dunia, kila binadamu anakutana na mitihani. Iwe tajiri au masikini, mwanamume au mwanamke, kijana au mzee — kila mmoja amebeba msalaba wake. Na mitihani hii haiji kwa bahati mbaya; imekusudiwa. Imeandikwa. Ni sehemu ya safari yako. Baadhi ya mitihani mikubwa wanadamu...
  9. Paspii0

    Baraka kubwa zaidi maishani huwa hazina bei ,lakini ni za thamani isiyoelezeka

    Tunalipa kodi, tunalipa bili za maji, umeme, nauli na mengine mengi ya maisha , lakini hatujawahi kulipia pumzi. Tunapata aleji ya vyakula, mafuta, dawa, na hata vumbi , lakini hakuna binadamu mwenye aleji ya oksijeni. Tumshukuru Mungu kwa hilo. Je, si hilo peke yake linatosha kumshukuru...
  10. R

    Hivi kuna wakati mgumu maishani kama ambao chanzo chako cha kipato kimedorora na huoni njia nyingine ya kujikimu ?

    Kuna wakati mwingine maisha huingia giza, ni pale ambapo shughuli yako kuu inadidimia, kipato kinapungua, na haionekani njia nyingine ya kujikimu. Hali hizi husababishwa na mtu kuzoea kitu flani muda mrefu ila ghafla mambo yanabadilika, Ushindani na ubunifu unazidi sokoni, kitu anachofanya...
  11. Amba Samedi

    Silaha 3 Zifuatazo Zitakusaidia Kutoboza Maishani (Ya Mwisho ni Muhimu Kweli)

    Habari mwanaJF, Natumaini kuwa unaendelea vizuri. Hatujaonana siku nyingi. Nilikuwa nafanya "reset". Na Mungu amekuwa mwaminifu. "Ameninyeshea mvua" za baraka katika maisha yangu. Sikuwa na kitu January, lakini maghala yangu yanafurika sasa. Mungu ni mwaminifu! Leo unapowaangalia watu...
  12. A

    Namtafuta atakayenifaa maishani

    Habarini za sasa. Mvua dar zinaendelea kupiga mfululizo hazikati na ndio zimenipa shauku ya kuandika huu walaka. Akili_ninazo ni kidume mrefu wembamba kwa umbo, nipo singo na nina ugwaduu wa mahusiano sijakumbatia mwanamke kw kipindi kirefu sasa ususani kwnye hali ya hewa kama hii enyi...
  13. GENTAMYCINE

    Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  14. Deinstein 01

    Kosa kubwa watu wengi wanalolifanya maishani

    Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, kosa lenyewe ni kuishi bila mpango naam kuishi bila plans. Leo hii ukiona kijana kamaliza chuo halafu mwaka unaisha yupo nyumbani bila mishe yeyote ujue halikuwa hana mpango wa maisha yake baada ya kuhitimu. Na vijana wengi wa sasa wana hili...
  15. P

    Ulikuwa unadhani utakuwa umeshanunua vitu gani na kukamilisha nini maishani ukiwa na miaka 30 lakini mpaka sasa hola?

    Kuna wale tulikuwa nikifikisha miaka 30 ntakuwa nimejenga nyumba nzuri, nna kazi nnayolipwa mshahara si chini ya Mil. 5 au nimeajiajiri na biashara yangu inaingizia si chini ya mil. 10 kwa mwezi, aloooo 🤣🤣🤣. Nna familia yangu na mtoto mkaliii na watoto wangu wawili wako international schoo...
  16. KikulachoChako

    Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  17. Strong and Fearless

    Kwanini baadhi ya watu huanza kukudharau unapopitia wakati mgumu maishani, na unapaswa kufanya nini ili kuvuka hali hiyo?

    Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti. Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
  18. ndege JOHN

    Kama unataka ufanikiwe maishani wape wanyama chakula

    Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula. Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini tunafundishwa namba za Kirumi shuleni? Je Zina faida gani maishani?

    Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
  20. KikulachoChako

    Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
Back
Top Bottom