maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa yana raha sana

    Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
  2. JamiiForums Tanzania Kanuni za kuishi maisha ya furaha

    1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu...
  3. JamiiForums Tanzania Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

    Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi . Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

    Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine.. 4 fundamental of life i. Money and Power ii. Sex iii. Food and drink iv. Umaarufu (fame) Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala. ............ Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
  5. JamiiForums Tanzania Kama umefungwa KIROHO ili usifanikiwe tumia njia hii kujifungua

    Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu. 👇🏾 Atheists God non believers And religionist. Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako. Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kutatua changamoto za maisha na kujiajili za mtoto

    Habari jamvini. Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200. Fact 2: kuna ushahd mkubwa kuwa wanaume mara nyingi ndio wanaowahi kwenda akhera madukan na kuacha wake zao...
  7. JamiiForums Tanzania Shida ni nini kwenye haya maisha? take its so serious.

    Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida? MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga Unaamini katika...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Basi la Nyehunge linaloenda Ngara lisipoangaliwa litasababisha madhara ikiwemo kupoteza maisha ya Watu, LATRA fanyieni kazi hii hali

    Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari zake Rulenge - Ngara - Mwanza. Tulianza safari tu vizuri asubuhi lakini kumbe, mabasi haya yanayofanya...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  10. JamiiForums Tanzania Aina za marafiki unaoweza kukuta nao katika mizunguko ya maisha. Je umeshawahi kukutana marafiki wa aina gani baadae ukaamua kuachana nao?

    Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v 1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka. 2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande. 3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

    Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi. Aliniunganisha na watu wengi Baada ya mama kufariki wale watu walipotea Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya uadilifu ni magumu sana. Sasa hapa sijui nitasaidika vipi kwa hiki kipindi

    Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa. Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  15. JamiiForums Tanzania Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii nje ya sanaa

    MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao kwa ujumla. Katika kutafuta athari hizo hupelekea baadhi ya wasanii kujitengenezea utofauti katika...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  19. JamiiForums Tanzania Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Vijana msije mkajitoa mpaka kupoteza maisha yenu kupigania vyama maslahi hivi

    Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao. Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…