maisha

  1. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  2. JamiiForums Tanzania Lawama katika Maisha

    Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,, Pamoja na hayo bado unaona...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dhana na maisha kama safari ya kumbukumbu

    DHANA YA MAISHA KAMA SAFARI YA KUMBUKUMBU. Ikiwa maisha ni mkusanyiko wa kumbukumbu, basi kuishi ni kukumbuka. Na kama mwanadamu amezaliwa na kumbukumbu za maisha ya nyuma, basi kuishi ni kuendeleza mfuatano wa kumbukumbu hizo. Kifo basi si mwisho wa uhai tu, bali ni mwisho wa uwezo wa kukumbuka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  6. JamiiForums Tanzania Thamani ya Maisha

    Katika sauti ya kimya ya moyo wetu, kuna wito usioonekana lakini unaosikika kwa kila mtu anayejitafakari , wito wa kutambua zawadi ya maisha, zawadi adimu isiyopimika kwa dhahabu wala dhahabu. Kwa maneno ya mwandishi wa hekima, Khalil Gibran, aliwahi kusema: “Your living is determined not so...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

    Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja. Ni ushauri tu...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

    Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia... Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
  12. JamiiForums Tanzania Kubali Umekataliwa Maisha Yaendelee

    Kkkm
  13. JamiiForums Tanzania Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani

    "Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini watu husema siasa siyo maisha yao, lakini kila wakilalamika kuhusu maisha yao, huwa ni mambo ya kisiasa?

    Hii ni hali ya mkinzano (conflict) kati ya kutoelewa kiundani nafasi ya siasa katika maisha, na athari halisi ya siasa katika maisha ya kila siku. Sababu Kuu Kwa Nini Watu Husema “Siasa Siyo Maisha Yao”sababu ya Kutoelewa Siasa kwa Maana Halisi ambayo Wengi hudhani siasa ni Vurugu na mabishano...
  15. JamiiForums Tanzania Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  17. JamiiForums Tanzania Huwezi kutoboa maisha kwa betting

    Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi", Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio", Lose ration...
  18. JamiiForums Tanzania Muamuzi wa maisha ya Binadamu ni Mungu, Maisha ni ubatili

    Yaliyomkuta Mfalme Daudi. Mipango ya Mungu na Udhaifu wa Binadamu: Hadithi ya Daudi na Absalomu Katika safari yetu ya maisha, mara nyingi tunajiuliza ni kiasi gani cha hatima yetu kimepangwa na ni kiasi gani tunatengeneza sisi wenyewe. Imani ya kwamba Mungu hupanga kila kitu ni jambo lenye...
  19. JamiiForums Tanzania Mnahangaika kuzungukazunguka bila ya sababu, zikeni maisha yaendelee

    Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO. Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui uhai ni nini. Je uhai ni pumzi, ubongo, moyo, au nini? Watu wa falsafa nao hawapo nyuma, wanadai uhai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…