watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa,
Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya.
kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote.
Hata zile chache zilizokuwepo zilipotea kwa kuwa threaten wawekezaji waliokuwa wameajiri mamia kwa maelfu.
Mfano...
Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza...
Personally. I agree with him.
( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment)
Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇
Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri wakati ukweli ni kwamba bado anataabika Kimaisha mtaani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameshiriki katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilifanyika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Huwa ninapokuwa napata muda na nimepumzika mara nyingi huwa napenda kufuatilia kipindi kimoja kinaitwa AIRPORT SECURITY ambacho kinapatikana katika channel ya NATIONAL GEOGRAPHIC kutoka king'amuzi Cha Dstv
Kipindi hiki mara nyingi kinaangazia masuala ya usalama katika Viwanja tofauti tofauti...
Mzuka Wana jamvi....
Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu.
Baada ya...
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri.
Akizungumza akiwa Kibanga, Muleba mkoani Kagera Dua amesema “kwetu Karambi nikienda miaka mitano...
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila
Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi.
Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani??
Mashoga
Majambazi...
Wakuu
Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi.
Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika
"Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia...
Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako.
Kwa mwanamke ni;-
1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje.
2...
Wale wakiofika pale page
Znz beach
Kuna hotels kadhaa
Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan
Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu
Wakati naingia...
Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬
1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma
My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa...
Nataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.
Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote .
Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima?
Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana alijitolea na kusaidia ndugu zake wote hivyo Karma ilimlipa .
Pia Mimi na ndugu zangu sote tumefanikiwa...
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.
Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani...
Habari wadau.
Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube.
Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri.
Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k
You don't need to chase anything in this entity.
Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.