mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Dini na mahusiano

    Wakuu habari, Kiukweli issue ya dini tofauti katika mahusiano inatesa sana, usiombe ikukute. Huyu mwanamke ameamua kubadili dini na kuwa mlokole wakati tulikuwa Catholic wote, saizi muda wote fireeee, fireeeee, fireeee.😬😬😬 Kazi hataki kufanya kazi kushinda kanisani, yaani hata akiona mjusi tu...
  2. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kisaikolojia ya mahusiano

    Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja. Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama...
  3. JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Usikubali kulia milele

    Usiwe kama samaki atoae machozi baharini yakamezwa na maji ukajiona wewe ni nunda wa mapenzi. Maumivu ya mapenzi ni makubwa Sana Kaka/Dada hivyo yakupasa ufanye maamuzi magumu kwa nyakati ngumu. Kama unaishi kwa mateso na maumivu ukiamini atabadilika kesho na habadiliki ni Bora umuache aende na...
  5. JamiiForums Tanzania Mawasiliano hujenga mahusiano

    Maisha ya Mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na mawasiliano chanya ya kila siku katika mazingira yanayo mzunguka. Neno mazingira likijumuisha nyumbani, kazini, kwenye biashara, kanisani, msikitini, shuleni, vyuoni n.k. Kila Mwanadamu hapa Duniani anatamani kufikia malengo yake makubwa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naona ugumu kuanza mahusiano mapya

    Dah sijui niseme hii tabia ni nzuri au mbaya, anyways nitajua baada ya kupitia maoni yenu, Lemme pull in weed's smoke then out 😤 "Psss Kho kho"... Okay Let's go Baada ya kuachana na aliekuwa mpenzi wangu mwaka jana 2021 till now tunaenda kumaliza 2022 sijawa kwenye mahusiano na mtoto wa mtu...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

    Habari Wakuu Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje? Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta...
  8. JamiiForums Tanzania Jamii ibadili mtazamo wake kwa mabinti wasiopenda ndoa!

    Habari zenu, Nakumbuka niliwahi ona thread ikizungumzia kuwa mabinti wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ndo maana wanaosuka mipango ya harusi asilimia kubwa ni wanawake. Ninavofikiri mimi ni kuwa maisha ya sasa ni tofauti na zamani. Zamani binti ukifkisha miaka 30 hujaolewa ilikuwa suala zito...
  9. JamiiForums Tanzania Huu mwezi mahusiano mengi yanaenda kuvunjika

    Mimi kesho nasafiri kwenda Zanzibar na Mchepuko Wangu. Kurudi Dar ni Mpaka Tarehe 30.
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
  12. JamiiForums Tanzania Mvuto ni tofauti na urembo au utanashati

    Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako. Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto. Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee. Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote...
  13. JamiiForums Tanzania Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Vidokezo vya kuingia katika mahusiano yenye afya 2023

    Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well. This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

    Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
  16. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Huwa kuna haja ya kuendeleza mahusiano ya one night stand ??

    Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
  18. JamiiForums Tanzania Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahusiano ya Uganda na M23 na athari zake kwa usalama wa DRC

    Mahojiano hayo hapo chini yanatoa mwanga kuhusu hujuma za Uganda dhidi ya DRC. Bukyanagandi , MALCOM LUMUMBA, MK254, Geza Ulole
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…