mahari

Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.

View More On Wikipedia.org
  1. wasumu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

    Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
  2. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kupanga na kuamua kiasi cha mahari ya mwanamke anayechumbiwa?

    Vigezo gani huwa vinatumika kupanga na kuamua kiasi cha thamani ya mahari ya mwanamke ambacho mwanaume anatakiwa aitoe kwa upande wa familia ya wazazi wa mwanamke?
  3. Optimists

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

    Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,.. Sasa kuna binti ambaye...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo

    Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3 Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?" Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

    Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale. Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko. Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up? Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi? NB: Angalieni na...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mtangazaji mmoja wa wachafu tv pesa alizokuwa anahongwa majuu na mshangazi ametumia kama mahari kwa covid I 9

    Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida ndiyo maana jamaa kwa sasa route za majuu zimekata kutokana na mshangazi amekata kutoa fund raise kwa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zamani Wazazi waliuza Binti zào Kwa Kile kiitwacho Mahari. Kwa Sasa ni Mila Potofu na biashara haramu

    ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo. Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Tunadhamiria kumrudishia Mwijaku mahari yake atupe binti yetu anayemdhalilisha kutwa nzima

    Sisi Wachaga waishio DSM tumeweka kikao na kuwaita wazazi wake na binti waje wa tueleze kama wanafurahishwa na anachokifanya Mwijaku kwa kwa bint Alice Kitendo cha kumuweka bondi bint yetu ni kwamba amemchoka na hamuhitaji ni kheri amtoe kwa msemaji wa yanga bwana ally kamwe Ukiachia hilo la...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenyimwa mtoto kisa eti sijamaliza mahari

    Wakuu kuna makabila yana mambo ya ajabu sana hasa hasa ya kanda ya ziwa hususuani wale weupe ti wanaopatikana kanda ya ziwa wale akina macho ya makengeza yaani kwao mtoto wa kike ni source of income yaani Nimeambiwa ili niweze kumchukua mtoto lazima nimalize mahari aisee daa mimi niwadindia...
  14. HONEST HATIBU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkoa gani hapa Tanzania unaweza kuoa kwa gharama nafuu

    Habari wakuu Hivi ni mkoa gani hapa Tanzania unaweza oa kwa gharama nafuu Sihitaji mwanamke nahitaji mke Naomba nijuze
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa mabachela tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    hii inawahusu wanaume mabachela ambao wanapambana ila pesa ni kikwazo, linapokuja swala la mahari jamii nyingi za Tanzania hazina mchezo kabsa kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. Utalia upunguziwe may be watokomea 3m bado kununua vitu...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  17. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

    Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa mke au mume kuforce kufunga ndoa na maiti Ilikuwa juzi wakati nahangaika na shughuli zangu za...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedatishwa na Malaya wa Morogoro soon naenda kutoa mahari

    Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika Ndiyo babake aisee Wakuu kiukweli pesa yoyote niliyopata kwwnye semina kiukweli nimemwagia yeye...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe ni mnene mweupe? Natoa mahari milioni 5, ndoa mwaka huu

    Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
Back
Top Bottom